Taratibu za kukodi shamba zipoje?

udevanny

Member
May 24, 2017
22
8
Habar Wapendwa.. Naomb kuuliza iv taratibu za kukodi shamba zipoje? Nataka nikodi shamba eka mbili mikese sa unaweza jikuta unapewa shamba lenye migogoro, au unatapeliwa.. Na je ikitokea ivo unatakiwa ufanye nin?

Natanguliza shukrani zangu
 
Natanguliza salamu pia...
Mashamba yapo kama hutojali yakununua na yakukodi na hayana migogoro yeyote ile!...sema tu yapo eneo tofauti na ulitakalo! Tunaweza kuwasiliana kama hutojali!...
 
Back
Top Bottom