Recent content by udes

  1. udes

    JamiiForums Tanzania Eee M/Mungu tusamehe ,sisi wenye ngozi nyeusi tuna laana gani? Hasa Waafrica

    Ntapigaaa kesho ,,ni vitu vinahuzunisha sanaa
  2. udes

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Huyuu ni mwamba
  3. udes

    JamiiForums Tanzania Eee M/Mungu tusamehe ,sisi wenye ngozi nyeusi tuna laana gani? Hasa Waafrica

    Kuna picha ntaileta kesho ili muamin ukweli wa wa afriaca kulaaniwa,, imagine mkandalasi anajenga barabarabkiwango Cha lami na baada ya kukabidhi kalatasi nylon zinafumuka katikat ya barabara it means alifukia.
  4. udes

    JamiiForums Tanzania Kwanini Uislamu hauhitaji kiongozi mwanamke?

    Biblia nayoo imekataa kabisa
  5. udes

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuzalisha misumari

    Hiyoo ndo sababu ya kumwambia asijaribu.
  6. udes

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya wengi

    Huyu ni mmi kabisa
  7. udes

    JamiiForums Tanzania Mliosema kuwa Dar es Salaam ilikuwa sehemu ya Zanzibar miaka ya zamani mlikuwa na hoja

    Sina Cha kuongea but boraa huu Uzi ungefutwaa kabisaa unafikirisha na kuumizaa mioyo yetu kibaya zaidi hamna mtu wa kufafanua hili ,,eeh mwenyezi mungu ututangulie .
  8. udes

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari na utitiri wa APPS za mikopo mtandaoni

    Mie nimepigwaa 84 juz Sina Hali kabisa
  9. udes

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nimetapeliwa

    So na wew yalikupata?
  10. udes

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nimetapeliwa

    Mpka Sasa nimesha FUTA na fb kwenye simu yanguu
  11. udes

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nimetapeliwa

    Yap
  12. udes

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nimetapeliwa

    Nipo nimelala natetemeka tuu
  13. udes

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nimetapeliwa

    Umeongea ukweli
  14. udes

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nimetapeliwa

    Mwatatu niliwafuta dm akasema ndio wamekopeshwa
  15. udes

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada, nimetapeliwa

    Kama hapan nilikosea wap
Back
Top Bottom