jaribu kufikiria, umeibiwa pesa nyingi, unapeleka kesi mahakamani, unategemea kesi iishe mtuhumiwa apewe hukumu na pengine upate compensation au uchukue hukumu yake ukafungue kesi ya madai, halafu hakumu anapokea rushwa nono na kuua kesi anamwachia mshitakiwa, wewe haki yako inapotea hivihivi...