Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,057
- 4,608
Kulikoni umekua msemaji wa UKAWA?
Si ulileta uzi kusema lowasa anashauriwa na rostam na regina abaki ccmkulikoni?
Kulikoni umekua msemaji wa UKAWA?
Ni mimi yule yule Lizaboni
waende zao wakatafute mtoto mwinigine wa uzeeni huko.kama hii itakuwa kweli basi huu ndio mwisho wa Chadema sadly
Wakati mwingine inabidi mtu auche personal ambitiona kwa manufaa ya wengi, sidhani kama ni kweli Slaa amefikiria mbali zaidi ya maslahi yake binafsi ya kuteuliwa kugombea urais kwa tuketi ya UKAWA, kama si hivyo inhekuwa vyepesi kucomprpmise. Lisemwalo lipo kama halipo linakuja, tunampa heshima yetu Dk Slaa maana mchango wake si mdoho katika harakati hizi ila kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, ALUTA CONTINUADr.Slaa katuangusha sana kwa kujifanya haoni manufaa ya kumpokea Lowassa.