Kwa bahati mbaya sana kuna watanzania Vilaza sana...utaona kwenye uchaguzi huu....Nchi hii huwezi kumzungumzia Karamagi, TISS na makando kando yao ukabaki salama.
Hata yule wa Gazeti la Jamhuri awe makini sana.
Kwa Mungu hakuna kinachojificha, ya duniani ni mapito tu