Gazeti la Nipashe 1995 Lowasa na mkuu

Gazeti la Nipashe 1995 Lowasa na mkuu

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2008
Posts
2,502
Reaction score
743
GAZETI-LA-NIPASHE-1995-KIKWETE-NA-LOWASSA.jpg
 
Mapacha haoooo, mwadhani walikutana barabarani? Atakaye mtosa mwenziye hapo ndo tutasema ni msaliti wala si mwingine kwani ulinipenda ukiwa huna kitu???
 
'Mimi na JK hatukukutana barabarani' by edo

'Hatuchagui mtu kwa kulipa fadhila' by JK


Yetu macho na kura baaasi
 
Ama kweli siasa sio lazima uwe na uwezo mkubwa bali ni bahati.
Sasa Jk baada ya kutukalia miaka 10 bado ametegeshea tu kwa uhakika, either achukue rafiki yake Eddo au akishindikana basi bwana mdogo wake Ben! Mpaka raha.
 
wakusoma tulkuwa tunalipa shilingi tano nauli,ubungo posta safarini forodhani
 
Back
Top Bottom