Lowassa aongezewe ulinzi

Lowassa aongezewe ulinzi

Kwa sasa CDM imekuwa chama kinachotaka kuingia Ikulu by any means necessary
Wasichokijua na kuelewa ni kuwa urais hauna ubia .. Lowassa akishaingia Ikulu hakuna wa kumwambia amteue nani wala nini .. sembuse kuwa keshawanunua akina Mbowe!
Tuliodhani kuwa CDM inasimamia itikadi, falsafa na dira aliyoizungumzia Dr Slaa 2010 hatukujua kuwa tulikuwa tunadanganywa tu na kutumika.

Sasa hakuna tofauti kati ya CCM na CDM hata kidogo. Tofauti ni moja - CCM iko madarakani na inahangaika isitoke, CDM bado na inahangaika kuingia madarakani. Hii ya uadilifu, utawala bora, vita dhidi ya ufisadi, kuboresha maisha ya watanzania ni uongo tu wanaotumia kufikia lengo lao kuu
Mkuu huu ulioandika hapa ni ukweli ambao...vijana wenzangu wa CDM hawapendi kuusikia......kwani wengi wao wanaabudu fikra za viongozi wao bongo zao............
 
Mimi msafi. Kwani mimi nimefunguliwa mashtaka ya money laundering? Kwani mimi nagombea urais sasa hivi. Lowassa amesema kama kuna mjinga ana ushahidi aende mahamakani,24 hrs later mtu amekwenda mahakamani.
nikikuangalia wewe na kukumbuka kuwa babako ndiye aliyetufikishahapa, kuwaacha watz wana hofu na wanaiona ccm kama muungu mtu, NAPATA HASIRA SANA NA SIPENDI HATA KUKUONA.babako kitu pekee alichokifanya ni kuunganisha taifa kuondoa ukabila na kufanya kiswahili kituunganishe, zaidi ya hayo ameifanya hii nchi ya kijamaa watu wavivu na alisakrifaisi kodi zetu kwa kukomboa nchi za wengine hadi tumekuwa masiikini wa kutupwa. bahati mbaya zaidi babako ndio kabisa hakujaliwa kupata watoto wa kuwarithisha uongozi/walau akili za kuongoza,mmebaki walevyi na desperate peoeple. poleni sana.
 
Kwa sasa CDM imekuwa chama kinachotaka kuingia Ikulu by any means necessary
Wasichokijua na kuelewa ni kuwa urais hauna ubia .. Lowassa akishaingia Ikulu hakuna wa kumwambia amteue nani wala nini .. sembuse kuwa keshawanunua akina Mbowe!
Tuliodhani kuwa CDM inasimamia itikadi, falsafa na dira aliyoizungumzia Dr Slaa 2010 hatukujua kuwa tulikuwa tunadanganywa tu na kutumika.

Sasa hakuna tofauti kati ya CCM na CDM hata kidogo. Tofauti ni moja - CCM iko madarakani na inahangaika isitoke, CDM bado na inahangaika kuingia madarakani. Hii ya uadilifu, utawala bora, vita dhidi ya ufisadi, kuboresha maisha ya watanzania ni uongo tu wanaotumia kufikia lengo lao kuu

Kumbuka anaingia ikulu kupitia Chadema hivyo waziri lazima atoke chadema
 
Hapana waziri siyo lazima atoke Chadema. Rais anaunda baraza lake. Katiba haisemi kutoka chama chake. Hebu soma vizuri katiba ..
Rais ana nguvu sana chini ya katiba hii ambayo Ukawa ilitaka kuitoa na kuweka katiba ya wananchi ya Tume ya Warioba. Unajua nani alishiriki kuiua Rasimu ya Warioba na kuandika Katiba Pendekezwa ya CCM? Lowassa! Na leo mnataka awe mgombea wa Ukawa?!
Na moja ya sababu iliyotolewa na maswahiba wa Lowassa including swahiba wake mkuu Andrew Chenge ni kwamba Rais ktk Rasimu ya Warioba amepunguziwa sana madaraka, hana majeshi nk. Mnafikiri agenda ya Lowassa itakuwa katiba mpya ya wananchi ajipunguzie madaraka?
Naomba mjiulize haya maswali na myatafakari kwa kiina..
 
Tokea lini msemaji wa chama cha majizi (ccm) akatufundisha athari za Lowasa! Tumeshamkubali lowasa Ni jembe hana mpinzani! Sumu yako kamwage baharini hapa hupati mtu, wananchi wa Leo sio wa enzi hizo! Chukua atua, UKAWA daima. Chama cha mafisadi (ccm) kililewa madaraka na kutokujali wanyonge, sasa hamna ziada zaidi ya UKAWA
 
Kwani Lowasa ni Chadema? Mi nijuavyo ni mwanaCcm kaomba kugombea ukawa kwani CCM kuna mtu tayari. Hapo ni sawa na kupiga kura ya Ndio au hapana kwa wanaccm hao wawili Lowasa na Magufuli
 
Kwa sasa CDM imekuwa chama kinachotaka kuingia Ikulu by any means necessary
Wasichokijua na kuelewa ni kuwa urais hauna ubia .. Lowassa akishaingia Ikulu hakuna wa kumwambia amteue nani wala nini .. sembuse kuwa keshawanunua akina Mbowe!
Tuliodhani kuwa CDM inasimamia itikadi, falsafa na dira aliyoizungumzia Dr Slaa 2010 hatukujua kuwa tulikuwa tunadanganywa tu na kutumika.

Sasa hakuna tofauti kati ya CCM na CDM hata kidogo. Tofauti ni moja - CCM iko madarakani na inahangaika isitoke, CDM bado na inahangaika kuingia madarakani. Hii ya uadilifu, utawala bora, vita dhidi ya ufisadi, kuboresha maisha ya watanzania ni uongo tu wanaotumia kufikia lengo lao kuu

sasa unataka kusemaje wewe mkuu?
 
sasa unataka kusemaje wewe mkuu?

Mkuu nasema bora CDM maslahi wamejipambanua ila waseme wazi kuwa waliyoyahubiri ilikuwa ni geresha tu ya kuingia Ikulu ili nao wajiweke ktk nafasi nono na watufisadi - It's our turn to eat!
 
kwa hiyo?
 
Kwani Lowasa ni Chadema? Mi nijuavyo ni mwanaCcm kaomba kugombea ukawa kwani CCM kuna mtu tayari. Hapo ni sawa na kupiga kura ya Ndio au hapana kwa wanaccm hao wawili Lowasa na Magufuli

wewe ulitaka iweje mkuu?
 
Ile thread ya familia ya Lowassa kuchunguzwa Uingereza imeondolewa.? Kusema kwamba kuna mtu anatishia maisha yake Lowassa wakati wale ni Crime Family,that is an insult.

Mkuu Andrew

Kwi kwi kwi kwi, haya maneno mazito saana
 
CCM wana kaupele bila kutaja Lowasa hawatulii.kaupele do kaweza kakafanya jitu zima kufunua nyeti mbele ya watoto.poleni CCM.
 
Natoa huu ushauri kama tahadhari tu na ikibidi walinzi awachague mwenyewe na awe makini na maarifiki zake wa awali hasa waliobaki upande wa pili asiwaamini sana.

Mh.ukiwa barabarani na hata kwenye hadhara uwe makini sana.

Epuka kukumbatiana na kila mtu hasa wale uliokuwa nao karibu siku za nyuma wanaweza kutumika wakiamini unawaamini sana hivyo itakuwa rahisi mission kukamilika kupitia wao.

Wageni wote wanaokuja kukutembelea nyumbani kwako na mnaopanga kukutana pia nao uwe nao macho.

Gari unalotumia nalo jaribu kuhakikisha linafanyiwa service sehemu tofauti kabisa na zile ulizokuwa umezizoe na ambazo zinafahamika na wengi.

Ni mtazamo tu lakini pia na ushauri wangu kwako
 
Lakini si ana ulinzi wa serikali kwa cheo alichokuwa nacho kabla ya kustaafu ingawaje watu kama Sokoine walikatika wakiwa chini ya ulinzi mkali wa serikali.
 
Nashauri walunzi wakachukuliwe kwa Kakobe au mzee wa maharage ya wapi, wapo vizuri na ni vigumu kununulika
 
Naunga Mkono Hoja, Walinzi Waombwe Wale Wa Askofu Kakobe Hao Hawanunuliki Hata Kwa Mabilioni.
 
Back
Top Bottom