Naomba utujuze yatokahayo mkuu!
Weweee. Yaani na Mbatia kaondoka?Mtu Asiye Na Mke Wala Watoto Wa Kusingiziwa Kaondoka Peke Yake
Lowasa hamjui sharif awaulize wzanzibar keshawatosa mara kibao, akitoka hapa anakwenda kusema yote waliongea na lowasa.Eee maana hakuna namna nyingine sasa lazima washikamane
acha kumhusisha Mungu na huu upuuzi.brother eddo ni mtu mtulivu sana kuelekea october .kiongoz bora atoka kwa Mungu acha wao wacheze ngoma
Alishindwa Lyatonga ,ataweza Lowasa? kwanza jukwaani atasema kitugani watu tukamuelewa? tamaa tu hizo za urais mbona kazi za kufanya nyingi? Lazima uraisi ? Asubiri octoba ndo ataijua ccm.
Leo jioni Maalim Seif Sharif Hamad amekutana kwa mazungumzo ya faragha na mgombea wa UKAWA Mh.Edward Lowassa jijini Dsm.
Wachunguzi wa mambo wanasema mazungumzo yao yalilenga ktk kuuimalisha na kuudhibiti hila na chokochoko dhidi ya UKAWA na kuzungumzia suala la Prof Lipumba "kuukimbia" umoja huo.Mazungumzo hayo yalikuwa ya mafanikio na maelewano makubwa
Nafuu ungekaa kimya kuliko kutuletea uharo wako hapa!nikimuangalia lowasa mpaka namuonea huruma. da! inawezekana kabisa nikampigia kura huyu jamaa. mbona anatia huruma hivi? tafadhali kama kuna watu wa karibu yake wanapita humu wamfanyie kanseling wamuambie pia kuna maisha nje ya siasa, nje ya kuwa rais, nje ya kuwa kiongozi na mambo mengine.