Recent content by ububudu

  1. ububudu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Galatasaray vs fenerbahce - DRAW
  2. ububudu

    Hongera sana SOPU

    Alex kitenge mchezaji wa stand united aliwahi kuifunga yanga hatrick kwenye mchezo wa ligi kuu mwaka 2018. Mchezo huo uliisha kwa yanga 4 stand 3
  3. ububudu

    Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

    Bora nafasi ya uhamasishaji mngempa Dokta Kumbuka kuliko Mwijaku
  4. ububudu

    Naomba kufahamishwa mishahara ya Jeshi la Magereza

    Wanalipa kutokana na elimu, amini anachokuambia.
  5. ububudu

    Waungwana, ninatafuta ajira / kazi

    Msukuma ndo maana anawadharau Wahitimu wa vyuo vikuu, yani hata kujieleza tena kwa maandishi unashindwa. Yani unataka mtu aje akuuluze tena una shahada ya nini, umefanya kazi kwenye kampuni gani, katika nafasi gani na kwa miaka mingapi. Kama haupo serious na vitu vinavyokuhusu huwezi kuwa...
  6. ububudu

    Afisa Mtendaji wa mtaa wa Mbezi Msumi ashambuliwa hadi kufa ofisini kwake

    Hata Hamza alipouwawa na polisi wananchi siku ile ile walichunguza na kusema alidhulumiwa madini, na wakalaumu polisi kwanini walimuua. Ila yeye kuua askari 4 ilikuwa haina shida. Nyerere hakutuachia utamaduni wa aina hii hata sijui tumeutoa wapi.Hivi sasa watumishi wa serikali yanapowafika...
  7. ububudu

    Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Jitahidi ujue mwaka wa kuanzishwa jeshi la magereza Majukumu ya jeshi la magereza Kazi za askari magereza Ujue kabla ya kuanzishwa jeshi la magereza ni jeshi gani lilikuwa linahifadhi wafungwa na mahabusu Vyeo vya jeshi la magereza angalau kwa uchache Uweze kulink Kati ya taaluma na vile...
  8. ububudu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ration laki 3 Kila mwezi, vinywaji laki laki 1 kwa mwezi ila utapewa laki 3 Kila miezi mitatu yani March, june , September na December.
  9. ububudu

    Sheria mpya, Jeshi la zima moto na uokoaji kupewa silaha za kazi gani

    Wanapewa silaha ili wawe multipurpose.
  10. ububudu

    Tukumbushane Majina (nick names) ya timu za taifa mpira wa miguu

    Ivory coast - The elephants Guinnea Bissau - The African wild dog Senegal - The Lions of Teranga
  11. ububudu

    Biashara ya Ushonaji Nguo (Tailoring)

    Naungana na black fire Kama wewe sio fundi na hauna idea ya ufundi usiingie katika hii biashara utakuja kugeuka bubu. Mafundi sio watu wazuri tena Kama wakijua wewe huna weledi na hiyo kazi Naongea kwa uzoefu kwani mke wangu ni fundi.
  12. ububudu

    Tuambie umesoma Chuo gani kati ya hivi?

    Hata usome John Hopkins au Havard Kama huna watu wewe ni kiazi tu. Ngoja uhitimu utakuja kutulilia sisi maafisa ustawi tuliosomea mwalimu nyerere memorial , ukiomba angalau tukupe kazi ya kufundisha watoto wetu tuition ya PCM au PCB. Suala la muda tu usije uchukia mchezo, chukia wachezaji.
  13. ububudu

    Haiti: Rais Jovenel Moise auawa akiwa nyumbani kwake. Mkewe ajeruhiwa

    Cha kushangaza kulingana na ripoti ya Aljazeera hakuna mlinzi aliyejeruhiwa Wala kuuawa wakati wa uvamizi
  14. ububudu

    Watu wawili wa karibu Ikulu aliyekuwa rais Haiti kuhojiwa kuhusiana na njama za kumuua

    Huyo Dimitri herard serikali ya Colombia inasema wiki chache kabla ya kifo Cha raisi alikuwa akiingia Colombia mara kwa mara. Kwahyo anacho Cha kuwaeleza serikali ya Haiti.
Back
Top Bottom