boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,103
- 1,382
Habarini Wakuu
Poleni na majukumu
Niko mbele yenu leo ninaombi moja kwenu nimekuwa nikiwaza sana kuhusu hii biashara ya ushonaji nguo kwa wiki sasa
Nimefanya utafiti kidogo mtaani na kuuliza uliza nikaona ni vyema nije kupewa chochote mahali hapa kuhusu hii biashara
Matatajio ya mtaji ni Mil 2 hadi 3m
Mwenye uzoefu na hii shughuli naomba a niambie je kwa kiasi hicho naweza kuanzia? Vitu gani vya kuzingatia? Changamoto za biashara hii? Wafanyakazi wanalipwaje? Napataje tender? Machine zinauzwaje? Na zinatakiwa machine za aina ngapi kwa kuanzia? Asante
Nb
Mimi siyo fundi nitakuwa nasimamia tu mafundi?
Nakaribisha inbox kwa wale watakaotaka kunishauli private