Waungwana, ninatafuta ajira / kazi

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,553
3,515
Mficha maradhi kifo humuumbua. Hivyo ndivyo navyoweza kusema kwa sasa.

Mwenzenu ni mwaka wa pili sina ajira tangu mkataba ulipokoma kule kwenye kampuni niliyokuwa nafanyia kazi.

Mimi ni mwanaume mwenye shahada ya kwanza (Degree).

Nina uzoefu wa muda mrefu katika kufanya kazi mbali mbali.

Ndugu zangu, hapa nimeandika kwa ufupi sana. Kwa yeyote mwenye nia ya kunisaidia kupata kazi, connection, au hata ushauri nitamtumia taarifa zangu zote ikiwemo CV.

Nisaidieni ndugu zangu, mtaani bila kazi rasmi ni kugumu sana. Nisaidieni nipate ugali huku nikishiriki vyema kujenga nchi.

Nimalize tu kwa kusema ASANTE itatolewa kwa yeyote atakayesaidia kufanikisha hili.
 
Pole mkuu kwa kuwa muwazi maana ungeomba tukutumie hela tusingetuma..Kama Ni kazi utaweza kubahatisha ila ungedokeza tu kwa ufupi una uzoefu Sana na kazi gani nje ya hip professional yako ili wadau wajue wanaanzia wapi...Kuna kazi zipo nying tu kwenye miradi
 
Asante mkuu, nitafanya hivyo.
 
Mficha maradhi kifo humuumbua. Hivyo ndivyo navyoweza kusema kwa sasa.

Mwenzenu ni mwaka wa pili sina ajira tangu mkataba ulipokoma kule kwenye kampuni niliyokuwa nafanyia kazi.

Mimi ni mwanaume mwenye shahada ya kwanza (Degree).

Nina uzoefu wa muda mrefu katika kufanya kazi mbali mbali.

Ndugu zangu, hapa nimeandika kwa ufupi sana. Kwa yeyote mwenye nia ya kunisaidia kupata kazi, connection, au hata ushauri nitamtumia taarifa zangu zote ikiwemo CV.

Nisaidieni ndugu zangu, mtaani bila kazi rasmi ni kugumu sana. Nisaidieni nipate ugali huku nikishiriki vyema kujenga nchi.

Nimalize tu kwa kusema ASANTE itatolewa kwa yeyote atakayesaidia kufanikisha hili.
Sasa boss unataka connection bila kuweka wazi una degree ya nini, umesomea profession gani...unasema una experience ya kufanya kazi mbalimbali bila kusema ni kazi gani...? Upo serious kweli mkuu
 
Habari, nina diploma ya ugavi na udhoefu wa mikopo, individual and groups (microfinance) nahitaji kazi yoyote kwa sasa,nikipata usimamizi na utendaji kwenye biashara yako nitakuingizia faida sana, nina management skills kubwa sana na uaminifu mkubwa sana
0712605935
Nipo DSM
26,yrs
 
Msukuma ndo maana anawadharau Wahitimu wa vyuo vikuu, yani hata kujieleza tena kwa maandishi unashindwa. Yani unataka mtu aje akuuluze tena una shahada ya nini, umefanya kazi kwenye kampuni gani, katika nafasi gani na kwa miaka mingapi.

Kama haupo serious na vitu vinavyokuhusu huwezi kuwa serious na kazi za watu.
 
Back
Top Bottom