Recent content by UBILUKO

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya imetokea katika msafara wa mwenge Msalala - Kahama

    Leo tar. 1 august kata ya Lunguya wilaya Msalala mkoani Shinyanga imetokea ajari mbaya ya gari na kuua watu watatu hapohapo na wawili wamefia hospital ya kituo Cha afya Lunguya, chanzo Cha ajari inasemekana ni mwendokasi wa dereva. My take: Barabara hii ya Kahama -Kakola ni mbaya sana karibia...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete

    Bado hatujachelewa kiongozi Mungu abariki Ili tufikie malengo
  3. U

    JamiiForums Tanzania KWELI Ndege ya Rais yaonekana Dubai, leo Julai 28, 2023

    Kimeumana
  4. U

    JamiiForums Tanzania Naomba mshirika kwenye biashara ya nguo za watoto

    Nakuja inbox kiongozi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Naomba mshirika kwenye biashara ya nguo za watoto

    Soko naamini ni uhakika sababu sehemu hii( kata nzima hamna nguo za watoto wanafuata mjini almost km 60 kutoka hapa) Kuhusu aina za nguo wengi wanapenda mpya kwa sababu ya usalama wa watoto
  6. U

    JamiiForums Tanzania Naomba mshirika kwenye biashara ya nguo za watoto

    Hello JF members, Mimi ni mwalimu na nina familia tayari hivyo kama mtu anataka kujipanua kibiashara huku mkoani nipo tayari kushirikiana naye Ili niwe msimamizi wake huku maana wife yupo kwa usimamizi maana hapa nilipo hakuna hio huduma. Kama Kuna mfanyabiashara yupo tayari tunaweza tukafanya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

    Unaenda kupigwa
  8. U

    JamiiForums Tanzania Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

    Ahsante mkuu ila kauzibe nawekewa kuwa sehemu nilipo Kuna uhaba wa walimu
  9. U

    JamiiForums Tanzania Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

    Ahsante sana mkuu nimefarijika sana , na hio ndo target yangu ndo maana katika siku chache zilizopita niliandika Uzi pia wa kuomba kwa mtu anayejua taasisi/organization ambayo inatoa ufadhili wa masomo Ili niweze kujiendeleza japo bado sijafanikiwa maana katika Hali niliyonayo kwa Sasa siwezi...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

    Inauma sana
  11. U

    JamiiForums Tanzania Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

    Mimi ni mwalimu na nina familia lakini maisha nayoishi kwa sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania. Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba, tena mwiba hasa. Na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujiendeleza kielimu (diploma) via Open university

    Maisha haya tunapambana kadri tuwezavyo lakini katika kupambana huko tunajikuta ndo tunaanguka zaidi Lengo la huu Uzi ni kutaka kusaidiwa shirika/NGO's/ mtu binafsi anayeweza nisaidia kulipa ada nimalizie masomo yangu Kwa ambaye anajua au yupo katika hio organization anisaidie wakuu[emoji120]
Back
Top Bottom