Je, bajeti ya mwaka huu 2023 ilionesha mchanganuo wa nyongeza ya mshahara?

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Habari ndugu zangu.

Kumekua na hisia tofauti juu ya kutokowepo kwa nyongeza ya mishahara. Je bajeti ya mwaka huu ilionyesha mchanganuo wa INCREMENT
 
Mama alishasema atafanya kimya kimya.sasa wewe unataka usababishe kelele.We subiri meseji toka NMB
 
CCM hawako kwa ajili ya kuendeleza sekta ya elimu hapa Tanganyika wao wako bize na madrasa.

Kuwa mwalimu Tanganyika mara elfu moja ungekuwa mbwa Ulaya, Ualimu ni umasikini na laana, coz hata mwalimu hapa Tanganyika hawajui haki zao za msingi.
ohoo, acha udini lakn,

Ni kwel kada ya walimu na watumishi wengi hudhani Utekelezwaji wa jambo fulani ni kama hisani,
 
CCM hawako kwa ajili ya kuendeleza sekta ya elimu hapa Tanganyika wao wako bize na madrasa.

Kuwa mwalimu Tanganyika mara elfu moja ungekuwa mbwa Ulaya, Ualimu ni umasikini na laana, coz hata mwalimu hapa Tanganyika hawajui haki zao za msingi.

Aisee umetumia lugha kali?sio mwalimu ila nimepita kwenye mikono ya Walimu
 
Sema serikali imefungamanisha elimu+ajira na siasa. Boss wa mtumishi wa umma ni mkurugenzi...anayetekeleza ilani ya chama pamoja na serikali. So mtumishi akileta mdomo anakuwa suppressed kulinda reputation ya chama na serikali.
 
CCM hawako kwa ajili ya kuendeleza sekta ya elimu hapa Tanganyika wao wako bize na madrasa.

Kuwa mwalimu Tanganyika mara elfu moja ungekuwa mbwa Ulaya, Ualimu ni umasikini na laana, coz hata mwalimu hapa Tanganyika hawajui haki zao za msingi.
Hoja Ni mishahara ya watumishi, wewe unakuja kuwakashifu walimu.
Watumishi sio waalimu tu na hakuna binadamu anayelinganishwa na mbwa. Acha chuki.
 
CCM hawako kwa ajili ya kuendeleza sekta ya elimu hapa Tanganyika wao wako bize na madrasa.

Kuwa mwalimu Tanganyika mara elfu moja ungekuwa mbwa Ulaya, Ualimu ni umasikini na laana, coz hata mwalimu hapa Tanganyika hawajui haki zao za msingi.
we mbona unawaandama waalimu? kwani kada nyingine wameongezewa mshahara?
 
CCM hawako kwa ajili ya kuendeleza sekta ya elimu hapa Tanganyika wao wako bize na madrasa.

Kuwa mwalimu Tanganyika mara elfu moja ungekuwa mbwa Ulaya, Ualimu ni umasikini na laana, coz hata mwalimu hapa Tanganyika hawajui haki zao za msingi.
Ualimu unaingiaje hapa wewe shoga? Jadili hoja kwa majibu yenye maana.
 
Habari ndugu zangu.

Kumekua na hisia tofauti juu ya kutokowepo kwa nyongeza ya mishahara. Je bajeti ya mwaka huu ilionyesha mchanganuo wa INCREMENT
Nahisi Mwezi wa 8 ndio salary zitaongezwa maana mabadiliko ya Kikodi nk Bado ku effect na kuleta taswira ya makusanyo yanayokusudiwa.
 
Back
Top Bottom