nziriye
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 1,050
- 365
Habari ningekuuliza umemaliza chuo lini? Umesomea nn? Upo mkoa gani? Je unachagua kazi au kazi yeyote...Unaweza kujibu au kama utashindwa kujibu, kindly DM/PM you CV kwangu, then tujaribu kupush...Hali yangu sio shwari. Kazi ndio hivyo najaribu kuomba hata vibarua lakini ni za manati.
Nasubiri tu vibarua vya kulima vikianza nijitose sina namna. Muda mwingine nakosa hata hela ya vocha kweli?
Najutia sana ile bidii niliyoweka huko kwenye elimu ningewekeza hata kwenye skills zingine ningekuwa mbali sana. Nakatiza mtaa au sometimes sitoki home kabisa.
Maana hata kampani yenyew ya vijana wenzangu hapa mtaa sio kabisa kutokana na matukio ya ulevi , wizi wa bike, bangi n.K.
Wanayo engage nayo Sikutegemea kwamba nitakuja kuishi maisha ya stress na dhiki kiasi hiki.
Simwombei mtu akose kazi maana joto lake nalionja. Na nishasema kuomba msaada kwa ndugu never.
Nimesimangwa sana kwa kweli inatosha.
Sikujui wala hunijui nimejiskia kukusaidia tu...muhimu ikitokea ukapata kazi unapaswa kuwa MUAMINIFU na MUADILIFU.