Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Abadani sitakuja kuwaonea huruma hawa mbweha mpaka watakapokuja kujitambua na kudai teaching allowance ili iweze kupunguza ukali wao wa maisha

Wakati huku viongozi wakiingia mikataba mibovu ya kubinafsisha bandari ya dar Es salaam nakupiga mabilioni ya pesa huku mwalimu wa shule ya Msingi anahangaika miaka kumi kumaliza deni la payport ambalo kimsingi ni nusu mshahara wa mbunge au waziri.

Walimu mishahara yenu ni midogo sana kama ilivyo Kwa sekta nyingine tu ila shida nyie hamna posho hicho tu, wateja wenu hawana pesa lakini polisi anauwezo wa kupiga patrol mpaka alfajiri hakosi laki Tatu ambayo ndo mshahara wako wa mwezi japo kuwa mnamzidi mpaka polisi ila wao wateja zao (watuhumiwa) ni watu wazima wenye kutoa pesa mfukoni akitengeneza mazingira ya rushwa ila sio nyie Kwa wanafunzi

Mimi ushauri wangu kutokana na iyo salary slip acha kazi tu ufanye maisha mengine maana hapo utakuwa unaaibisha fan huwez kuishi Kwa dolar hamsini hata siku moja. Au mbinu nyingine ya kivita fanya fujo uwe mbishi usiyeelewana na mkuu wako uwe mwanaharakati ili wakutengenezee zengwe wakuhamishe ili upate pesa ya uhamisho hiyo pesa ufanyie miradi vinginevyo hutoboi

Hapo mkuu ngoma ngumu hiyo maana dah ahsee nashindwa nikwambiaje ila nyie walimu kunguru ana uafadhari yani Mnaishi maisha yakifukara chini ya mstari wa umasikini. Mpo kama mapakashumbe
Wewe jamaa nilishawahi kukueleza Leo nakueleza tena,sheria za kiuchumi haziruhusu hicho unachokisema cha teaching allowances kwa walimu.Walimu ndio ni robot tatu ya Watumishi wote wa Serikali ukitaka uwape allowances kula mwezi maana yake unakwenda kuvuruga bajeti yote ya Nchi na mambo mengine hayawezi kwenda.
 
Kaka chukua ushauri huu,
1.kama upo maeneo ya mjini omba uhamisho wa ndani katika Halmashauri uliyopo nenda kwenye shule za kijijini kabisa kule ambapo watu kuona hata gari wanakimbia.
2.Ukifika huko kwenye hiyo 200,000 hakikisha kila mwezi unatunza 100,000-ziweke kwa muda wa mwaka utapata 1.2,ni ngumu lakini ukijitahidi utaweza.
3.Ukiwa unafanya hiyo saving anza kutafuta shughuli ya kiuchumi ya kufanya hapo hapo kijijini-nakuhakikishia within 2-3 yrs utaona mabadilikona after 5 yrs utakuwa MTU mwingine kabisa.

It is hard but ni possible.
 
Sio kweli, kama ni wengi mbona mama aliongeza mshahara Kwa watumishi wote, mbona elimu Bure iliwezekana kumlipia gharama kila mwanafunzi, mbona pesa zinazoibiwa ni nyingi zinazoweza kulipa walimu hata miaka Mia mfululizo
 
yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh.
Mtego uko kwenyemuda wa rejesho, Mkopo unao faa ni ule wa dharula, tena uwe wa muda mfupi miezi mitatu hadi 6, kiasi cha riba huwa ni nafuu kulingana na kiasi cha fedha unachopewa.

Nje ya hapo ni kilio.

Sasa mtu unasainishwa fomu kuwa utalipa kwa miaka kadhaa, hapo ndipo accumulation ya riba inafika asilimi 300%

Hii mikopo imewaliza walimu wengi sana.

Pole.
 
Ipo hivyo maana hata akiwa mbishi, kaidi kufata maelekezo na nimtu wa kuhoji sana Kwa mshahara wake ulivyo wa mbuzi TSC hawana kawaida ya kumpa adhabu ya makato ya mshahara asilimia 15 maana mshahara wenyewe hana Sasa watakata nini kwahiyo watu kama hawa hawawez kukumbana na adhabu yoyote ya mshahara zaidi ya uhamisho. Uhamisho kwake ni advantage maana atalipwa tena ana mke na watoto hakosi million tano mpaka Sita

Hakika wewe ni mtumishi.

#YNWA
 
Mbona wagogo wenzio ni ombaomba huwatetei!? Yani unaumia Kwa mwalimu wakati wagogo ndio waoongoza kuwa ombaomba na unanasaba nao huumii !?? Sio kweli uliukosa Sasa unatukana pole Sana!??ushahidi huu[emoji116]View attachment 2650995
Mpwayungu Village ni mwalimu
Sio kwamba aliukosa ualimu
Huyu jamaa ni mwalimu, maana anaijua taarifa nyingi sanaa za kiutumishi.

#YNWA
 
Kaka chukua ushauri huu,
1.kama upo maeneo ya mjini omba uhamisho wa ndani katika Halmashauri uliyopo nenda kwenye shule za kijijini kabisa kule ambapo watu kuona hata gari wanakimbia.
2.Ukifika huko kwenye hiyo 200,000 hakikisha kila mwezi unatunza 100,000-ziweke kwa muda wa mwaka utapata 1.2,ni ngumu lakini ukijitahidi utaweza.
3.Ukiwa unafanya hiyo saving anza kutafuta shughuli ya kiuchumi ya kufanya hapo hapo kijijini-nakuhakikishia within 2-3 yrs utaona mabadilikona after 5 yrs utakuwa MTU mwingine kabisa.

It is hard but ni possible.
Huu ni ushauri mzuri sana,
 
Ahsante mkuu ila kauzibe nawekewa kuwa sehemu nilipo Kuna uhaba wa walimu
 
Mimi ni mwalimu na nina familia lakini maisha nayoishi kwa sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania.

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba, tena mwiba hasa.

Na huwa sijua hawa watu wanapigaje hesabu, yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh.

Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116].View attachment 2650518
Ninyi si ndiyo "chawa" wa CCM; Vumilia daadeki!
 
Mei mosi wanaenda na vishikwambi wenzao wanaenda na magari ya CWT, SM, STK, STJ, yenyewe Yanaenda yamepakiwa kwenye malori yakifika yamelowa vumbi kama mafungo yaporini Yale yanayolalaga na nyoka shimoni halafu yanasema mama Asante Kwa vishikwambi.

Wenzenu wanapewa magari, transport allowance, house allowance na makorokoro kibao nyie mnapongeza vishikwambi makopo mabovu hayana hata mwanga ukishika kama bati la simba Dume
Dah[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Hapo hana access tena ya kukopa popote pale, kwanza hata moja ya Tatu imeshuka kitu ambacho ni kosa kwa mtumishi wa umma, unasema million 30 mkuu ivi unaota nawakati hapo hata laki Tatu hakopesheki na hayo madeni kuisha kwake mpaka atastafu.

Ajabu ya yote sijui amekopaje Kwa hawa Bayport kausha damu, hata hivyo huyu jamaa Kwa basic salary yake tu inaonyesha hajapanda hata daraja moja toka aajiriwe hivyo hana mda mrefu kazini kazidi sana ni 2019 Sasa kakopa Kwa shida zipi benki zote mbili mpaka za Mitandaoni kausha damu??

Anaacha NMB na CRDB anakimbilia letshego bank aonekane wakimataifa mtoto WA town kumbe mbuzi tu unaenda kwenye mabenki yenye riba za kaba koo tena huwa yanasign tu bila kusoma vzr mkataba Wala hayajui riba bei gn yanakuwa na pressure ya pesa tu Kwa mda huo Sasa saizi Mavi yanagonga chupi manina zako

Ndoutajua walimu ni mapungasese hayana akili matahila haya
Huyu sasa ndo wewe Mpwayungu Vs Walimu 😂
 
Abadani sitakuja kuwaonea huruma hawa mbweha mpaka watakapokuja kujitambua na kudai teaching allowance ili iweze kupunguza ukali wao wa maisha

Wakati huku viongozi wakiingia mikataba mibovu ya kubinafsisha bandari ya dar Es salaam nakupiga mabilioni ya pesa huku mwalimu wa shule ya Msingi anahangaika miaka kumi kumaliza deni la payport ambalo kimsingi ni nusu mshahara wa mbunge au waziri.

Walimu mishahara yenu ni midogo sana kama ilivyo Kwa sekta nyingine tu ila shida nyie hamna posho hicho tu, wateja wenu hawana pesa lakini polisi anauwezo wa kupiga patrol mpaka alfajiri hakosi laki Tatu ambayo ndo mshahara wako wa mwezi japo kuwa mnamzidi mpaka polisi ila wao wateja zao (watuhumiwa) ni watu wazima wenye kutoa pesa mfukoni akitengeneza mazingira ya rushwa ila sio nyie Kwa wanafunzi

Mimi ushauri wangu kutokana na iyo salary slip acha kazi tu ufanye maisha mengine maana hapo utakuwa unaaibisha fan huwez kuishi Kwa dolar hamsini hata siku moja. Au mbinu nyingine ya kivita fanya fujo uwe mbishi usiyeelewana na mkuu wako uwe mwanaharakati ili wakutengenezee zengwe wakuhamishe ili upate pesa ya uhamisho hiyo pesa ufanyie miradi vinginevyo hutoboi

Hapo mkuu ngoma ngumu hiyo maana dah ahsee nashindwa nikwambiaje ila nyie walimu kunguru ana uafadhari yani Mnaishi maisha yakifukara chini ya mstari wa umasikini. Mpo kama mapakashumbe
Siungemwambia aje achukue mayai KWAKO trei kadhaa aje auze KWA faida!!?
 
Mwalm mwenzetu huyo katika ubora wake
 
Mei mosi wanaenda na vishikwambi wenzao wanaenda na magari ya CWT, SM, STK, STJ, yenyewe Yanaenda yamepakiwa kwenye malori yakifika yamelowa vumbi kama mafungo yaporini Yale yanayolalaga na nyoka shimoni halafu yanasema mama Asante Kwa vishikwambi.

Wenzenu wanapewa magari, transport allowance, house allowance na makorokoro kibao nyie mnapongeza vishikwambi makopo mabovu hayana hata mwanga ukishika kama bati la simba Dume
🤣😂Unachekesha ila ukweli Mchungu,mie naona anagalau wanawake wanauza vibiashara vidogo wenye wanaume wana pata support Mpwayungu Village siku wachane walimu wanao honga marioo na kuwakopea mikopo wanaachwa walimu na manesi wanapendwa sana ni wajinga kuwadanganya ukawapiga.
 
[emoji1787][emoji23]Unachekesha ila ukweli Mchungu,mie naona anagalau wanawake wanauza vibiashara vidogo wenye wanaume wana pata support Mpwayungu Village siku wachane walimu wanao honga marioo na kuwakopea mikopo wanaachwa walimu na manesi wanapendwa sana ni wajinga kuwadanganya ukawapiga.
Ivi kweli eti [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom