Inaumiza, inatesa na kuniweka katika majonzi mazito mno

Hawa watu ndo wasaidia watoto wetu shuleni!! Sijui watajikwamua vipi kutoka hapo walipo aisee!!!! Maana serikali ndo hii ipo bize kutuuza..... niseme pole sana brother,

Nimeangalia iyo slip yako ni majanga aisee, komaa maliza mkopo huo though ni ngumu! Then kopa pesa ya maana ufanye biashara, lakini kazi usiache nakushauri kazi usiache”

Kama unaweza pia jichoshe zaidi fanya biashara, lakini rudi shule omba kusoma soma mpaka upate masters huu ni mpango wa muda mrefu inaweza kukuchukua miaka hata 5 au 7” ukifanikiwa kumaliza utakuwa na expirience ya muda mrefu, omba kazi sehemu nyingine kimya kimya I hope mungu atakusimamia......

Lakini kubali kutumika na kujichosha kwaajili ya future yako mwenyewe na familia yako” kazi ya baba nikuleta maendeleo kwenye familia, wewe jichoshe ili wanao wapate kile kilicho bora wasije angukia hapa ulipo wewe mkuu.
 
Ahsante sana mkuu nimefarijika sana , na hio ndo target yangu ndo maana katika siku chache zilizopita niliandika Uzi pia wa kuomba kwa mtu anayejua taasisi/organization ambayo inatoa ufadhili wa masomo Ili niweze kujiendeleza japo bado sijafanikiwa maana katika Hali niliyonayo kwa Sasa siwezi kujilipia hata ada
 
Nikasema yaani Mpwayungu Village aone hii post [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787]Ila angalau hujampa makavu sana.tuachie walimu wetu nani atafundisha watoto wetu ualimu ni wito [emoji23]
Watoto wengi kwanza wanataka kuwa wakata mauno, wanakuambia nataka kuwa kama konde na mondi zuchu
Taifa sahv tushakuwa kama kongo tu
Acha wa UAE waje kutuadabisha tu

Ova
 
Mimi ni mwalimu na nina familia lakini maisha nayoishi kwa sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania.

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba, tena mwiba hasa.

Na huwa sijua hawa watu wanapigaje hesabu, yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh.

Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116].View attachment 2650518
Ndugu Mtanzania, Naomba kufahamu namba yako ya malipo yaani "cheque number", na Jina lako tunajaribu kuhakikisha kama hudaiwi na bodi ya mikopo. Epuka usumbufu lipa deni, ujenge taifa !
 
Kaa kimya tuliza kipwipwi wewe mwalimu vipi weweeee
Wewe mgogo Mimi sio mwalimu kama wewe uliyeukosa ualima namkuanza kuwatukana!! Nakushangaa wenzako WA kabila lako ombaomba huwaonei huruma unahangaika na watu wanalipwa na pension wanapata na matibabu wanalewa!! Wahurumie wagogo wenzio
 
Mimi ni mwalimu na nina familia lakini maisha nayoishi kwa sasa ni heri ya mwanafunzi ila naamini Mungu yupo atanipigania.

Matatizo huja pale unapolemewa kuyatatua unawaza na unajikuta unaingia katika mikopo ambayo huipendi wala hukutarajia mwisho wa siku inakuwa ni mwiba, tena mwiba hasa.

Na huwa sijua hawa watu wanapigaje hesabu, yaani mkopo wa milioni 3 inafika milioni 9 looh.

Tupo kazini lakini hatuna furaha [emoji24]

Kwa wale wanaojua kusoma saraly slip [emoji116][emoji116][emoji116].View attachment 2650518

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaah Nmeecheka saaaaana, Pole sana mkuu.
 
Abadani sitakuja kuwaonea huruma hawa mbweha mpaka watakapokuja kujitambua na kudai teaching allowance ili iweze kupunguza ukali wao wa maisha

Wakati huku viongozi wakiingia mikataba mibovu ya kubinafsisha bandari ya dar Es salaam nakupiga mabilioni ya pesa huku mwalimu wa shule ya Msingi anahangaika miaka kumi kumaliza deni la payport ambalo kimsingi ni nusu mshahara wa mbunge au waziri.

Walimu mishahara yenu ni midogo sana kama ilivyo Kwa sekta nyingine tu ila shida nyie hamna posho hicho tu, wateja wenu hawana pesa lakini polisi anauwezo wa kupiga patrol mpaka alfajiri hakosi laki Tatu ambayo ndo mshahara wako wa mwezi japo kuwa mnamzidi mpaka polisi ila wao wateja zao (watuhumiwa) ni watu wazima wenye kutoa pesa mfukoni akitengeneza mazingira ya rushwa ila sio nyie Kwa wanafunzi

Mimi ushauri wangu kutokana na iyo salary slip acha kazi tu ufanye maisha mengine maana hapo utakuwa unaaibisha fan huwez kuishi Kwa dolar hamsini hata siku moja. Au mbinu nyingine ya kivita fanya fujo uwe mbishi usiyeelewana na mkuu wako uwe mwanaharakati ili wakutengenezee zengwe wakuhamishe ili upate pesa ya uhamisho hiyo pesa ufanyie miradi vinginevyo hutoboi

Hapo mkuu ngoma ngumu hiyo maana dah ahsee nashindwa nikwambiaje ila nyie walimu kunguru ana uafadhari yani Mnaishi maisha yakifukara chini ya mstari wa umasikini. Mpo kama mapakashumbe

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] eti MAPAKA SHUME Daaaah
 
Sio mwalimu kivipi huoni salary slip inamakato ya CWT. Acha hasira nyie walimu hamjitambui tuu kubalini nyie ni majinga jinga takataka tu
Mbona wagogo wenzio ni ombaomba huwatetei!? Yani unaumia Kwa mwalimu wakati wagogo ndio waoongoza kuwa ombaomba na unanasaba nao huumii !?? Sio kweli uliukosa Sasa unatukana pole Sana!??ushahidi huu[emoji116]
JamiiForums-575292719.jpg
 
Napenda Sana kazi ya ualimu Ila Basi tu, mnavyoponda pondeni tu, nitakujaga kusomea ualimu, hipo siku, haidha kwa fani yangu au la, Ila napenda ualimu kweli.
 
Abadani sitakuja kuwaonea huruma hawa mbweha mpaka watakapokuja kujitambua na kudai teaching allowance ili iweze kupunguza ukali wao wa maisha

Wakati huku viongozi wakiingia mikataba mibovu ya kubinafsisha bandari ya dar Es salaam nakupiga mabilioni ya pesa huku mwalimu wa shule ya Msingi anahangaika miaka kumi kumaliza deni la payport ambalo kimsingi ni nusu mshahara wa mbunge au waziri.

Walimu mishahara yenu ni midogo sana kama ilivyo Kwa sekta nyingine tu ila shida nyie hamna posho hicho tu, wateja wenu hawana pesa lakini polisi anauwezo wa kupiga patrol mpaka alfajiri hakosi laki Tatu ambayo ndo mshahara wako wa mwezi japo kuwa mnamzidi mpaka polisi ila wao wateja zao (watuhumiwa) ni watu wazima wenye kutoa pesa mfukoni akitengeneza mazingira ya rushwa ila sio nyie Kwa wanafunzi

Mimi ushauri wangu kutokana na iyo salary slip acha kazi tu ufanye maisha mengine maana hapo utakuwa unaaibisha fan huwez kuishi Kwa dolar hamsini hata siku moja. Au mbinu nyingine ya kivita fanya fujo uwe mbishi usiyeelewana na mkuu wako uwe mwanaharakati ili wakutengenezee zengwe wakuhamishe ili upate pesa ya uhamisho hiyo pesa ufanyie miradi vinginevyo hutoboi

Hapo mkuu ngoma ngumu hiyo maana dah ahsee nashindwa nikwambiaje ila nyie walimu kunguru ana uafadhari yani Mnaishi maisha yakifukara chini ya mstari wa umasikini. Mpo kama mapakashumbe
duh jamaa umeandika kwa hisia sana
 
Back
Top Bottom