Recent content by Tzyetu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tanroad

    Hello wana JF! Naombeni msaada kwa yeyote anaejua mshahara wa SHIFT IN CHARGE TANROAD. please, please naombeni msaada wenu ndugu zanguni
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba - very serious

    Wamubhwene umugasi lata au bhachali kukuyenja?
  3. T

    JamiiForums Tanzania mke anahitajika

    Natafuta mchumba ambae within maximum 6months atakua mke wangu baada ya kufunga ndoa kwa harusi safi. Sifa; awe mweupe, mrefu, asiwe mnene na mwembamba sana, elim atleast form six au chuo, awe tiari kuish DSM. About me; nikijana wa 1986, ninadegree, maji ya kunde, mrefu na sio mnene, nafanya...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Live kutoka Arusha: Operesheni chakaza CCM (mkutano)

    Hongera Lema kwa kudhibiti hao wezi wa Tembo
  5. T

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Siri hadharani kuwezesha hatua za ziada za kisheria kuchukuliwa dhidi ya Mhando

    Big up JJ Mnyika for unconcelling the concelled info! We are behind you brother
  6. T

    JamiiForums Tanzania chadema yapania kusambaratisha ziara za ccm

    Sina uhakika kama una kichwa! Sorry!!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Slaa amshangaa Kinana

    Nawewe unaishi? Kweli Mungu ni wingi wa rehema!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Slaa afunika Karagwe

    Kwa Tanzania ya leo hamna zaidi ya Dr Slaa, is the best of the best. Tumpe dhamana ya kutuongoza 2015 panapo majaliwa ili tuondokane na lindi la ufisadi usababishao maisha magumu.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Slaa afunika Karagwe

    Wewe unaelewa mageuzi gan?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya urais 2015

    Huyu aongoze taifa gan? Acheni kuchezea nyara za taifa jaman....!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Kama hawa ndo wahariri wa taifa hili basi nchi itazidi kupoteza mwelekeo, nimesikitishwa sana na hoja ya kupaka mafuta ufisadi eti "sio hoja tena" pasipo kujua kwamba ufisadi ndo umetufikisha hapa. Kwa mtu yeyote makini ukisoma makala ya huyu anaejiita mhariri utagundua kuwa anamaslai binafsi na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya urais 2015

    Dr Slaa is the best-beyond compare
Back
Top Bottom