Slaa amshangaa Kinana

Slaa amshangaa Kinana

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amemshangaa Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana kwa kuanza kulalamika kuhusu bei za Korosho, Ufisadi wakati Chama chake ndicho chenye serikali. Dr Slaa anasema ni bora CCM ikawa upinzani na yenyewe badala ya kuwahadaa wananchi.

Aidha amewashangaa watu wanaodai majina ya mafisadi wakati yeye alishawasilisha kwa DPP majina na akaunti za Mafisadi na watia sahihi wa akaunti hizo lakini serikali imekaa kimya hadi leo.

Slaa pia amewashangaa watu wanaodai CHADEMA ina makundi kwani huo ni uzushi usio na maana na CHADEMA haina muda huo wa kupoteza. Kazi ni moja tu ya kujenga Chama na wakati uchaguzi wa ndani ya Chama ukiwa unaendelea rushwa haitavumilika ndani ya CHADEMA hata kidogo.

Slaa ameyasema hayo katika Baraza la Mashauriano la Mkoa wa Kagera ambalo pia lilihudhuriwa na Wenyeviti na Makatibu wote wa Mikoa wa CHADEMA.

- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu!!

Le Mutuz!!
 
Huyu mzee Slaa is like a startled rabbit caught in headlights,he has no idea and Majority of Tanzanians don't Know what he wants... i think its about time to hang those gloves ... siasa zimeshinda huyu babu

Sasa wewe ndo umechangia nini? nakufananisha na marehemu...
 
aache kushangaa shangaa atoe ripoti kwa nini chadema imeshindwa vibaya udiwani licha ya kutumia pesa nyingi zitokanzo n kile kinachoitwa oparesheni sangara(m4c),asitafute pa kutokea yeye kama mtendaji mkuu wa shughuli za chama analo la kujibu
 
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...

Hizi nazo kumbe siasa, kama ndivi mie nishajitoa
 
- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu! Ndo maana baba yako alipewa fedha za EPA na Jeetu patel

Le Mutuz!!

We **** ndio maana hauchaguliki Na ulifukuzwa Na mkeo. Dr. Slaa kaongea pumba zipi?
 
Mujarafu tafuta kibarua cha kufanya kwani shule ndio mgogoro. Nendeni shule muweze kumudu mapigo. Huyu ni Dk wa kweli sio huyu wa kupewa kwa fadhila. Mlichezea Elimu angalia mnavyoumbuka. Tulisema tusiwe na muda wa watu wanaojaza nafasi humu kwenye JF lakini walitakiwa wachangie mada za kindergaten. nadhani hata njaa imechangia mpeni buku 2 (hawalipwi zaidi ya mlo hawa)

Umempendelea sana maana hata mada za kindergaten hawezi. Siku hizi hawa watoto wa kindergaten wana akili ndio maana wakiambiwa CCM oyee wanaonyesha alama ya vidole viwili maana washajua nini alama ya ukombozi. N unajua kjinsi symbols zinavyotuma ujumbe mzito. Lakini huyu Mujarafu basi naogopa nisije nikatukana kumbe mtu mwenyewe kosa si lake bali wale waliomfundisha chuki isiyokuwa na reservation na kumnyima filtation
 
- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu!!

Le Mutuz!!

Na wewe unarusha mawe wakati nyumba yako imejengwa kwa vioo. Nenda kasome Hatima ya Tanzania ya na uongozi wetu ujue watu wakiamua kuwa na tamaa jinsi wanavyouza utu wao. Utajua kuwa kuwa unatakiwa tena utafakari na ujute dhambi kwa ajili ya baba yako. Dhambi hiyo itamtafuna maana hana hata chembe ya uzalendo na wewe naona like the father like the son. Na uliza ziara alizofanya akiwa waziri mkuu na shopping zilizokuwa zikifanywa kama zililingana na mapato yake. Moja ilikuwa China.Ni mengi lakini inabidi tuweke kiporo
 
ni muendelezo wa JK kushangaa kwa nini Tanzania ni masikini ,,,,....na wanafunzi wanapata mimba kwa sababu wana kiherehere
 
- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu!!

Le Mutuz!!

Ndo mana unashindwa kila uchaguzi unaogombea...!!
 
Huyu mzee Slaa is like a startled rabbit caught in headlights,he has no idea and Majority of Tanzanians don't Know what he wants... i think its about time to hang those gloves ... siasa zimeshinda huyu babu

Kweli wewe ni njiwa heri ungekuwa kwale
 
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...

tatizo ni thinking capability!
 
Siasa za Sasa ni sawa na 0+0-1+1=!?! Kheri nijipumzikie kuliko kusikiliza udhaifu wa Fikra.
 
- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu!!

Le Mutuz!!
hakuna haja ya kubishana na mabwabwa makamanda,wewe unavyonenepeana hivyo zaidi ya kupiga picha na mademu kuna kazi nyingine kweli???kaa kimya ndio maana magamba wenzio wanakuona kaa ma..v.. hawakuchagui.
 
Mkama alipewa nafasi ajaribu juu ya Dr ila hata muda haukufika akachemsha juu ya Dr na hatimaye kidogo ccm imfie kwa kushindwa vishindo vya Dr mwishowe ccm wakambwaga kama maji,,,sasa wamejaribu kiazi(kinana) ili apambane na Dr na hadi sasa Kinana kaanza kwa mkwala na hatimaye ameanza na gia no 3 badala ya no 1 sasa Dr kamkumbusha kuwa ataiangusha gari inabidi asimamishe gari kabla hajawaua abilia aliowabeba ili aanze na gia no 1 ili afikilie kwanza,,kwani tayari inaonekana kapewa gari ambayo hakuijua kuwa si automatic kama alivyofikilia,,Dr Slaa unatisha, sijui hatima ya Kinana baada ya mwaka 2013 kuisha!!!!
 
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...

Nawewe unaishi? Kweli Mungu ni wingi wa rehema!
 
.........anaacha kumshangaa rose kamili anamshanga kinana ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za kipaimara....nyambafu...

wewe una phd ya madrasa!?panda jukwaani kwa falsafa za madrasa wakati wenzio wanapanda na za karl max,nk.watu wame labour chizi wewe.
 
Back
Top Bottom