kuliko kutawaliwa na huyo, ni bora kukaa bila RAIS! period!
Huyu aongoze taifa gan? Acheni kuchezea nyara za taifa jaman....!mmemsahau Steven Masatu Wasira
Kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa Tanzania.
- Dr W. Slaa
- Mh. F. Mbowe
- Mh. John Magufuli
- Mh. Edward Lowassa
- Mh. Tindu Lissu
NB; Masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
kwa nini mkuuzzk bado sana, na inavyoonyesha hata akifikia 70 hakui!!
kwa nini mkuu
ni mtu anayetaka sana cheap popularity, mbinafsi, ndumilakuwili, uchu wa madaraka...............mambo ambayo ni hatari sana katika siasa.
kama uchaguzi wa raisi 2015 ungefanyika leo, basi ningeenda tu kupiga kura kama hawa wafuatao watakuwepo. Hapa nawapanga katika descending order, kwa maana kwamba kama atakuwepo zaidi ya mmoja ya hao waliopo kwenye list, basi aliye juu ndiye atakayepata kura yangu. Kwa maoni yangu, kati ya wanasiasa ninaowafahamu sasa, hawa ndio wenye uwezo wa kuperform uraisi hapa tanzania.
- dr w. Slaa
- mh. F. Mbowe
- mh. John magufuli
- mh. Edward lowassa
- mh. Tindu lissu
nb; masharti na vigezo (vya katiba) vimezingatiwa...
Ushauri wangu,ondoa Edward Lowasa weka Z kabwe kwani Z Kabwe ni mtu anayejiamini katika misimamo yake na ndiyo sifa ya mkuu wa nchi,EL NI MKURUPUKAJI NA HANA INDEPENDENT EDUCATION CUO.
Bado unaamini hivyo au ilikuwa geresha ya kinafiq kama ulivyo?1. Dr Slaa
2. Dr Slaa
3. Dr Slaa
4. Dr Slaa
5. Dr Slaa
Hizi panga pangua ndio tano bora za BAK
Watanzania tungeenda kuuzwa utumwani, mboo.wee mpaka hakuna kulala vilainishi vyenyewe sheeeda.Mh. F. Mbowe