Natafuta Mchumba - very serious


D

default

Member
Joined
Nov 24, 2012
Messages
6
Points
0
D

default

Member
Joined Nov 24, 2012
6 0
hello jf

Nina miaka 27, kijana wa kiume, mkazi wa dsm , elimu yangu ni shahada ya uhandisi, mrefu wa wastani , pia mwili wangu ni wa wastani na rangi ya kunde.
napendelea mpira wa miguu, kuogelea na muvi.
situmii pombe, sigara wala sio mtu wa club za usiku

mimi ni mkristo, kabila yangu mjita na ndio naanza maisha, ninampenda Mungu

actually tatizo pekee nililonalo napenda sana kazi yangu hivo muda mwingi nakua busy na pcsifa za mchumba

awe mkristo
awe ana hofu ya Mungu
asiwe mlevi
awe tayari kupima ukimwi
awe angalau kamaliza kidato cha nne
awe tayari kusubiri mpaka ndoa bila kukutana kimwili
awe tayari kuanza maisha, namwenye uwezo mkubwa wa kufikiri kwa haraka na subira
awe tayari kunipenda kwa dhati
awe mrefu wa wastani, asiwe mnene
awe na umri usiozidi miaka 23
awe mjasiriamali/ mwenye kujali kuhusu kesho


alie tayari, ani pm
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,675
Points
2,000
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,675 2,000
Kilalaheri ndugu!

Hivi unatafuta mchumba jinsia yoyote ile? Maana wewe hueleweki ni me au ke?

Rekebisha kidogo kwenye wasifu wako, na ujipatie wachumba wa jf!
 
Power G

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Messages
3,909
Points
1,225
Power G

Power G

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2011
3,909 1,225
Mimi niko tayari kabisaa na pia ni mjita mwenzako. Bwachasugu mwana wasu
 

Forum statistics

Threads 1,296,619
Members 498,672
Posts 31,253,898
Top