Live kutoka Arusha: Operesheni chakaza CCM (mkutano)

chadema na nyinyi mmechoka sasa yaani bila ccm hamuwezi kufanya siasa? mbona mnafuatilia sana mambo ya ccm? hv ushupavu wenu mpaka muone ya ccm? huo cyo upinzani badlikeni mm naiona cdm watakuja kuwa ndo majizi makubwa ya nchi hii haijapata kutokea .
 
kweli wewe mlango wa kati kama jina lako lilivyo:confused2:
 

hii ndo Arusha kwajina jipya
THE hardcore chadema!!! yaani makamanda ndani ya sekunde moja wameshajaa Kilombero mfano wa nyuki!!!

Ogopa jeshi la mtu moja moja.....makanda wa Arusha ni zaidi ya ujuavyo!!!

habari kwa ufupi ni kwamba kile ulicho kiona leo kilombero ni
kikosi kazi kimoja kati ya elfu!!
 
hakunaga.... zaidi ya chadema..
hakunaaga.... zaidi ya chadema
..haku....
mmmmh chezea koki wewe utalowaaa, wape habari ya mujini magamba..
 
ImageUploadedByJamiiForums1353954996.935276.jpg


Lema Kazini
 
Back
Top Bottom