Slaa afunika Karagwe

Slaa afunika Karagwe

Kwa kadri CCM wanavyojitahidi kukuruka nao CDM wanavyochochea mageuzi,

Saa izi ni Vuguvugu la kijani Vs M4C.
 
mpaka 2015 hakuna kijiji kitaachwa.m4c ni homa ya malaria
 
Acha CCM wakashif wawezavyo. Mimi napata taarifa live toka Karagwe. watu watatu wameshindwa kunitumia picha ili niweke. Natumaini kufika kesho tutakuwa na picha hapa. Mafunzo hayo yanaenda sambamba na mkutano wa mashauriano ya mkoa wa Kagera ambapo mh. lwakatale atakuwa wilayani humo kwa siku nne hadi 25/11/2012. Mkytano huo wa mkoa una wajumbe wasiopunguaa 100.

hadema Vema.


Kaka hawa jamaa wa ccm ni watukanaji wazuri sana b'ce wanategemea polisi. Lkn tusijali matusi ss tusonge mbele kukomboa taifa letu. Wao wana pesa sisi tuna Mungu!
 
nimelimic sana ili neno.. ''peeeoples powe!!''
 
Alimfunika bos wako mi sioni ajabu kufunika si alizaliwa afanye hivyo we kamuulize kijiko
 
yaani HIVI KUNA WATU MPAKA LEO WAPO CHAMA CHA MABWEPANDE??? NI aibu sana kwa kweli!!! CHADEMA MILELE!! Period!
 
Dr.slaa namfananissha na kipande cha chupa mfano wa almas ambayo watanzania tumedanganywa kuwa ni almas kumbe ni chupa tukaacha almasi halisi
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amepokelewa kwa shangwe na Wananchi wa Karagwe. Msafara wa Dr. Slaa ulikuwa na magari yapatayo 50 na pikipiki zaidi ya 80. Dr.Slaa yuko Wilayani Karagwe kwa ajili ya kufungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wenyeviti na Makatibu wote wa Mikoa wa CHADEMA kutoka Tanzania Bara na Visiwani. Mafunzo hayo yataanza kesho tarehe 22 hadi 23 Nov 2012. Picha zitakuja soon kuna shida ya Matandao kidogo

Nilishasema humu F, msiwaamini watu wa vijijini, kwenye kura hawako hivyo! The most unprincipled guys. wanabadilika kwa Kanga, kofia and the like!!!!!
 
Dr.slaa namfananissha na kipande cha chupa mfano wa almas ambayo watanzania tumedanganywa kuwa ni almas kumbe ni chupa tukaacha almasi halisi

Kwa Tanzania ya leo hamna zaidi ya Dr Slaa, is the best of the best. Tumpe dhamana ya kutuongoza 2015 panapo majaliwa ili tuondokane na lindi la ufisadi usababishao maisha magumu.
 
Amefunika nn acheni uongo kwa mvua iliyopiga hata magari yalishndw kutembea labda alipanda punda

Mbona juzi magufuli kasema barabara iko powa na inapitika? nani muongo kati yako na magufuli?
 
Back
Top Bottom