mke anahitajika

Tzyetu

Member
Nov 21, 2012
12
2
Natafuta mchumba ambae within maximum 6months atakua mke wangu baada ya kufunga ndoa kwa harusi safi. Sifa; awe mweupe, mrefu, asiwe mnene na mwembamba sana, elim atleast form six au chuo, awe tiari kuish DSM.
About me; nikijana wa 1986, ninadegree, maji ya kunde, mrefu na sio mnene, nafanya kaz. Aliye tiari na serious aniPM. am very serious tafadhali
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom