Mpande alikuwa na mkwara hatari ,nakumbuka enzi za mchakamchaka wa saa kumi na moja alfajiri siku moja alipigwa ngumi moja na mwanafunzi alipomkurupua kwenye usingizi
Daaah...sitosahau pale nilipomaliza form four nilikuwa kibarua wa fundi ujenzi pamoja na kubeba zege ila mbaya zaidi pale nilipomaliza form six nilipata kibarua cha kutengeneza tambi katika kiwanda bubu fulani nilianza saa kumi jioni hadi saa kumi na mbili asubuhi malipo 1000
Albadir yoyote wakitaka kusoma lazima watangaze ndio utaratibu.. ili mwizi ajijue maana ikishasomwa madhara yake ni makubwa mno na hutoweza kurudi kwenye hali ya kawaida
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.