Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

Tamaa yako ndio imekuloga. Na sio rahisi sana kumloga mtu wa West Africa maana uchawi wa watu wa Nigeria, Cameroon, Senegal umezidi sana wa hapa Tz. Utakapompata mchawi akulogee mtu wako utazidi kupata hasara maana utamlipa pesa nyingi na hamna chochote. Akikwambia ameshamuua Msenegali huyo utajuaje? Mla huliwa. Ulitaka kula hela za bure sasa umeliwa
Ngoma droo.
 
Man-nyoya!!
5m mpaka 150M bado tu unaingia kichwa kichwa, Pumpbav.
 
Nishakumbana nao zaidi ya mara tano, tena wanakupatia no za simu za mapadre wanaowalea hapo kituoni kumbe ni mijemba tu.
 
Naomba unambie majina yako halisi ili nikuroge wewe mwenyewe
 
Mkuu pole sana, yaani na elimu yako ya chuo kikuu ukatapeliwa kitoto hivyo. Hakuna namna wewe ichukulie kama umetoa sadaka. Pole sana
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
Nani huyo, anae jiita Dr Meran na mwenzie Sr Janifer Smith,

Pole
 
Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.
Hukubali vipi wakati hela ndo imeshapotea hivyo,ndio ukome kutongozatongoza Siku nyingine mtakujakutongoza na majini,siyo kila king'aracho ni dhahabu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Dah Pole Sana.
Nacheka Kama Mazuri Vile.
Maana Huu Wizi Mm Nakumbuka 2010 Ndo Nilipousikia Sasa Najiuliza Ww Ndugu Yangu Utakuwa Na Mda Gani Katika Mambo Ya Digital,Technology,Social Networks Kwa Ujumla. Maana Duh!!
Itakua story ya kutunga hii cz huu ni wizi wa kizaman kabisa
 
hahaha huu utapeli wa kizamani kabisa yani wewe ni wakuchapwa viboko kabisa
 
Kabla ya kukupa uchawi wangu naomba nikuulize na unijibu maswali yangu yafuatayo:-
1. Huko Mzumbe ulikuwa unasoma nini au ulikuwa unafanya kazi gani?
2. Unataka akilogwa utajuaje kama amelogwa wakati yuko mbali
3. Unataka afe au aweje ?
Nijibu leoleo nikufanyie kazi yako kwa masharti nitakayokupa.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Haaah msomi ulikubali kutransfer 5m kwa tapeli? Dah short cut hizo???!!!
Hizo msg zimetumwa sana kipindi Fulani hapo miaka 90-2000s ila ukitafakari vema kama msomi utajua tu kuwa uzushi...wewe utoe hela, kwa kitu usichouhakika nacho...zaidi ya Maneno, na sura uliyosema? Hao ni men tu wanakuwa baa wanapiga pombe, tu
Mimi niliyakwepa kwa maelezo hayo hayo tofauti ya mimi alisema ni mrwandwa nilimwambia sina account yeyote wala sina biashara labda aombe msaada anapolelewa cha kushangaza account yake ikapotea
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
Kaka nikupe pole..... pole sanaa... hao nj mataoeli wa sikunyingi sana. Walisha ni approach sana fb...
hapo ni kwamba hakuna jinsi.. ya kurudisha pesa.. wamesha ichukua.
Jifunze ili usidumbukie tena kwa hawa matapeli.

Lakin kwa sasa you are OFFICIALY BANKCRUPT
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Dah Pole Sana.
Nacheka Kama Mazuri Vile.
Maana Huu Wizi Mm Nakumbuka 2010 Ndo Nilipousikia Sasa Najiuliza Ww Ndugu Yangu Utakuwa Na Mda Gani Katika Mambo Ya Digital,Technology,Social Networks Kwa Ujumla. Maana Duh!!
Juan huu wizi ni wa siku nyingi sana... tena miaka hiyo fb ilikuwa haina hata app.
lakin mwenzetu kapigwa za uso leo... sasa sijui ni mgeni na hii mitandao ya kijamii
 
Back
Top Bottom