Sahani20
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 1,518
- 740
Hali imekua ngumu hasa kwa wale wazazi na walezi wenzangu ambao watoto wetu wanasoma shule za private alafu kipato ni cha kawaida hali inazidi kuwa mbaya na kutupatia wakati mgumu wa maisha. hatma yetu inafikia kipindi ambacho huwezi pata msaada popote pale kila mtu unaemueleza au kuomba akukopeshe pesa kidogo anakwambia hana pesa,
Ada za shule zimepanda na
pesa mkononi imepungua
watanzania tupendane tudumishe ule umoja aliotuachia Hayati mwl julius kambarage nyerere.
Ada za shule zimepanda na
pesa mkononi imepungua
watanzania tupendane tudumishe ule umoja aliotuachia Hayati mwl julius kambarage nyerere.