wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,547
- 29,386
Mmm!!mbona video imegoma kuplay au cm yangu!!
Hata mimi mkuu sijui kwa nini cm yangu haifungui video inaniandikia hivi!!Huenda ni shida ya simu yako..
Hata mimi mkuu sijui kwa nini cm yangu haifungui video inaniandikia hivi!!View attachment 460265
Mkuu netwak ipo na hili tatizo sio leo tuu jata mimi hiyo video naiona ila nikiitach ili iplay ndo inaniandikia hivyoSasa hapo c network chief?![]()
Kitu kinaonekana safi kabs hapa natumia nokla
Msaada mkuu niguse makitu gani kwenye hii cm maana inanikosesha raha kwa upande wa video ya j.f ndo inagoma! Natumia samsung S.3mini!!Simu yako inatatizo!
Hahahaha... Mganga ametangaza shida...kwa yeyote anayetaka kinga amuoneKenya kila kitu kinatokea.... Lakini jambo la msingi ni kukumbuka kunywa maji ya kisima yako.