RE: kiwanja kinauzwa bei poa Busweru Mwanza

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habar wakuu
Kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa Buswelu karibia na shule ya sekondari bidii ukubwa ni 20*30 maji umeme vipo
Bei ni milioni nne tu upungufu upo kidogo
Kwa mawasiliano plz call 0763772636
407d7e00f4c13340547863be91692096.jpg
aa25f77b3d086b71b12666e7fa76348e.jpg
 
Habar wakuu
Kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa Busweru Mwanza ukubwa ni 16*28
Kiko uzungun yaani sio uswahilini kina hati pia umeme maji vipo na kiko mita chache kutoka barabaran bei mil 7 kwa Maelezo zaidi nichek WhatsApp 0763772636

kula 4m
 
ONE 2 ONE FOCUS.CO LTD ni Kampuni ya Kizalendo ,iliyosajiliwa na BRELA kwa Hati Namba ya Usajili 127281 na TIN Namba :
131-202-040.

Kampuni inajishughulisha na:
1.Ujenzi wa Majengo Mbalimbali.
2.Upimaji wa Viwanja
3.Utengenezaji wa Ramani.
4.Uuzaji wa Viwanja.

Kwa Ujenzi wa Nyumba Tunakujengea na Kufanya Finishing Kuanzia Hatua ya Awali Mpaka Mwisho wa Ujenzi.

Pia Katika Ujenzi Huo Tunakuwekea:-
1.Uwiano Mzuri wa Cements
2.Nondo za mm 12 ,mm 16 na mm 24 za Chuma Kulingana na Aina ya Ujenzi.
3.Mbao imara i.e Mikaratus,Saiprus
4.Mabati imara Kutoka Nje ya Nchi
5.Tiles Daraja la Kwanza.
6.Tunaweka Gypsum
7.Tunaweka Fremu,Milango
8.Milango ya Mbele na Nyuma Kuwekewa Grill.
9.Tunaweka Fitting za Makabati,Mifumo ya Maji,Makabati ya Jioni.
10.Wiring ya Umeme.

Tupigie kwa:-
0763772636 WhatsApp
0789047874 call

Petty Marcel
SALES REP
ONE2ONE FOCUS
MAKUMBUSHO COMPLEX
DAR-ES-SALAAM

Pia Tuna Ofisi Jiji la Mwanza
BUZURUGA COMPLEX
MWANZA
 
Habar wakuu
Kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa Busweru Mwanza ukubwa ni 16*28
Kiko uzungun yaani sio uswahilini kina hati pia umeme maji vipo na kiko mita chache kutoka barabaran bei mil 7 kwa Maelezo zaidi nichek WhatsApp 0763772636
Sio Busweru ni Buswelu

Umesema kina hati! Je gharama za kubadilisha hiyo hati zitamhusu MUUZAJI AU MNUNUZI?
 
9a124252dba078d78c5d7b6e5740bc65.jpg
7f40e29d57ba79f7bdb849bb258a1884.jpg
2702f2298093bfaf2ecb031e2ed815d6.jpg

Picha za eneo lipo Buswelu karibia na shule ya sekondari bidii ukubwa ni 20*30 bei mil nne upungufu upo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom