Recent content by twiseghe

  1. T

    Siku za kujifungua zimepitiliza, msaada.

    kwa umri huo wa mimba nashauri afanyiwe operation straight kwa kua placenta kuchoka ni dalili mbaya kwa kua halitaweza kuhimili kupeleka oxygen kwa mtoto uchungu ukianza
  2. T

    Doctors Vs Engineers

    Wote wanategemeana na kushindanisha sidhani kama ni sahihi! Huo ni utoto wa sekondari
  3. T

    Mke wangu amezalishwa na madaktari wadogo roho inaniuma

    mkuu hamia uarabuni Tz bado sana au uwe unapeleka mkeo huko akachunguliwe na wanawake wenzie! halafu ujue wanawake wanapenda wahudumiwe na wanaume!
  4. T

    Wizara ya fedha naomba ufafanuzi wa PAYE (kodi), mbona haijashuka mpaka leo?

    Mie PAYE ni almost 30% ya basic salary. Hata hiyo 11% siijui! nafikiria sana!
  5. T

    Nimeamua kubadili dini na kuwa Mwislamu

    sidhani kama hii inahitaji mjadala! dini kabadili yeye na sababu anazijua yeye bac!
  6. T

    Nimeamua kuuza figo yangu moja ya kulia ili kulipa deni la loan board

    Hata serikali inadaiwa! utakapopata kazi utalipa
  7. T

    Kesho ni sikukuu ila sina raha, mama kanikosesha amani kabisa

    unakula peku hata huogopi?? apandacho mtu ndicho avunacho! bahati mbaya hutavuna ww tu na uzao wako pia
  8. T

    Kesho ni sikukuu ila sina raha, mama kanikosesha amani kabisa

    Mapenzi ya kuzaa ubayo but ya kuoa hakuna! kama vipi uache kuzaa mtaani! kaongea na mama yako vizuri atakushauri
  9. T

    Wajamaa wa kizazi kipya Utachoka

    Ni ukweli na hatari kubwa na hawako tayari kutoka madarakani! Kwao cheo ni dhamana ya kufanya ufisadi
Back
Top Bottom