Doctors Vs Engineers

Doctors Vs Engineers

Mnatetea ma engineer wanatengeneza kila kitu halaf hata kujitibu kidonda hawajui nawashangaaa,,ogopa mutu inayoshughulika kukurudishia uhai unaoyumbayumba kwa afya yako ya mgogoro?? Unatengeneza makombora wakat ilifel unakimbizwa kwa top wako doctor,,,achaneni na udaktari bhana hata watengeneze mashine za kusukuma mapigo ya moyo lakin usipoweza kumwekea binadamu inakusaidia nn? Yaan daktari ni anauwezo wa kukucheleweshea kifo chako kikasogea mpka kesho kutwa
 
Doctors na Engineers wote ni upuuzi tu bila pesa coz ndo inayowafanya kutimiza creativity zao whether it is operation or design ya kitu chochote so money financiers it's all that matters in this world nothing without money can be made to exist in a physical world. Huko miaka ya nyuma sana even before christ birth hakukuwa na hao mnowaita leo Doctors na Engineers but everything was in place and these Doctors and Engineers emerged as a result of people's accumulation of wealth
Mzee wa pumba
 
Hivi kwanini mgonjwa akifia kwa daktari daktari hashitakiwi ila engineer jenga structure then i fail mahakama inakuhusu
Zipo sababu nyingi kama vile kucheleweshwa hospitali ,kukosekana kwa pesa ili kununulia vifaa vya kumtibia mgonjwa mfano wale wanaohitaji operation ya haraka ili maisha yao yaokolewe

Mgonjwa kutofuata ushauri aliopewa na daktari ,uzee

Hapa kwenye uzee ndio kabisa kwa sababu idadi ya namba za seli zinazokufa ni nyingi kuliko zile zinazotengenezwa
 
Engineer akimaliza PhD ndipo anapewa jina la Doctor hahahh

"Sikio kuzidi kichwa ni ngumu kutokea"
 
Wahandisi wanahisi madaktari wanatumia vifaa vilivyogundiliwa na wahandisi. Ukweli ni kwamba vifaa vingi vinavyotumika na madaktari viligunduliwa na kutengenezwa na madaktari na vingine vinaitwa kwa majina yao. Wahandisi wanahusika kwenye mass production baada ya madaktari kukubali kutumia. Ingawaje ni kweli pia vifaa vingine hubuniwa na wahandisi.
 
Wahandisi ndio chachu ya maendeleo katika nchi yoyote ile iliyoendelea na inayoendelea
 
Zote mbili zina umuhimu mkubwa na fani moja haiwezi kuwa bora zaidi ya nyingine. Engineers hawawezi kuwa na afya bora bila Doctors, na wao hawawezi kuwa fanisi bila kutumia tools ambazo ni part ya Engineering.
Lakini all in all, Teachers ndio wakubwa zao.

MD and Engineering, my 2 favorite professionals.
 
jamani wote niwamuhimu kwenye nafasi zao hakuna aliye bora kuliko mwenzake
 
upo sawia kabisa kusema engineer ndio ana tengeneza madaraja, ndege,mabarara pamoja na baadhi ya vifaa anavyotumia doctor, lakini usisahau kuwa engineer anayetengeza iyo ivo anaweza kutumia ata miaka 10 kukamilisha ayo mambo na endapo akikosea anaweza kurudia tena na tena mpaka afanikiwe,

lakini tukija kwa doctor sasa, kwanza kumbuka doctor ana deal na human sio machine na kwasababu hiyo tu utajua kwa njisi gani anatakiwa awe smart na makini, vilevile doctor anaingia kwnenye oparation room akiwa na moja tu kichwani kumtibu mgonjwa wake, hapo unaona tena akili yake lazima aitumie kwa kiwango cha juu zaidi.
ebu jaribu kufatilia ata lifestyle ya doctor utaelewa zaidi
Dr akifanya mistake surgery anaweza ua mtu mmoja lkn Engineer akifanya mistake anaweza ua hata watu laki moja kwa mara moja
 
Mleta mada utakua daktari nini?
Hehe unapoongelea engineering ni kitu kipana sana. Doctors ukikariri mambo na kufanya practice umemaliza.

Turudi kwenye engineer, kwanza medical instruments zote mnazotumia zimetengenezwa na engineers, madawa mbalimbali mnayotumia, engineers ambao wamekaa wakachimba medicine vizuri wakaumiza kichwa na kuja na solutions. Doctors wao ni kufundishwa tu jinsi ya kuvitumia na kuambiwa vinafanya kazi kwenye mtu wa aina gani basi.

Hujasikia biomedical engineering, chemical engineering, computer , electrical engineering? Hehe acha utani aisee.

Hakuna kitu kigumu kama kukaa na kufikiria kutengeneza kitu kipya ambacho hakipo kabisa. It takes a lot of brain power, don't underestimate engineering kabisa, ni moja ya field ambazo hadi unakufa hujamaliza kusoma.

Sasa kukuonyesha umuhimu wa engineering subiri miaka kadhaa ijayo, doctors tutawareplace na kuweka robots ambazo zinaweza fanya analysis hadi treatment much faster and more accurate kuliko hata daktari.
Usifanye utani na kazi za watu, hapo kwenye dawa umekosea sana. Kwenye dawa uhusika wa daktari ni mdogo, hapo unamkuta mfamasia. chemical engineer hawezi tengeneza dawa peke yake, anayefanya research ya dawa ni mfamasia huyo chemical engineer anakuja baadae sana. Mi naona wote ni muhimu ila tu tusipende kudharau kazi za watu
 
Usifanye utani na kazi za watu, hapo kwenye dawa umekosea sana. Kwenye dawa uhusika wa daktari ni mdogo, hapo unamkuta mfamasia. chemical engineer hawezi tengeneza dawa peke yake, anayefanya research ya dawa ni mfamasia huyo chemical engineer anakuja baadae sana. Mi naona wote ni muhimu ila tu tusipende kudharau kazi za watu

Aliyedharau kazi za watu nani? Hehehe, hukusoma ukanielewa au?
Ulishawahi kukaa ukaona watu wanafanya research kucome up na dawa flani? siongelei kwa kuhadhithiwa naulizia first hand maana mimi nimeona kwa macho mawili na nafahamu watu walio kwenye hii industry na sio doctors. Wapo baadhi ya doctors wanafanya research ndiyo, lakini nenda kwenye industry hata moja wanayo manufacture madawa uone, utakutana na scientists na engineers watupu, doctors ni wa kuhesabu au hata zero kabisa.

Sijasema doctors sio muhimu, unajaribu kunilisha maneno, pitia vizuri ukasome uelewe. Nimesema engineering ni ngumu zaidi, ndiyo my main point, na engineering ni pana mno. Mengine unajijazia mwenyewe tu
 
wasalam,
jaman sio dharau au majivuno wala mashindano, akini kwa upande wangu ninaona ipo ivi, kwenye professoinal mbili doctors na engineers zote zinaitaji concetration ya maana kama unasoma.

lakin kusema ukweli kabisa doctor atakiwa awe smart sana kuliko engineer na ni professional ngumu sana kuliko engineering, najua engineers wanajitetea na mathematics & phyisics kuwa ndio mambo magumu sana kweli masomo hayo magumu lakin kwenye swala la umakini na u smart wote anapewa doctor.

engineers wote nawaheshimu sana, lakin nimekuja kugundua cozi sio nondo kama doctor. nina mengi yakuongezea lakin inatoshaa kwa leo.

mwenye husuda, dukuku,maoni,povu... hayaaa!
Engineers are the doctor of machine
 
Aliyedharau kazi za watu nani? Hehehe, hukusoma ukanielewa au?
Ulishawahi kukaa ukaona watu wanafanya research kucome up na dawa flani? siongelei kwa kuhadhithiwa naulizia first hand maana mimi nimeona kwa macho mawili na nafahamu watu walio kwenye hii industry na sio doctors. Wapo baadhi ya doctors wanafanya research ndiyo, lakini nenda kwenye industry hata moja wanayo manufacture madawa uone, utakutana na scientists na engineers watupu, doctors ni wa kuhesabu au hata zero kabisa.

Sijasema doctors sio muhimu, unajaribu kunilisha maneno, pitia vizuri ukasome uelewe. Nimesema engineering ni ngumu zaidi, ndiyo my main point, na engineering ni pana mno. Mengine unajijazia mwenyewe tu
Hatubishani mi nakueleza jinsi ninavyoelewa, dawa yoyote lazima iwe ni matokeo ya research iliyofanywa kwa Muda mrefu, hao maengineer unaowazungumzia wanatengeneza dawa ambazo tayari zilishafanyiwa uchunguzi na kujulikana Zina physiological activity na hazina side effects kubwa na formula zinatolewa ili viwanda vingine vitengeneze . Mi Sina uzoefu wowote wa viwandani ila ni according to nilivyosoma. shuleni. Mkuu ukizungumzia dawa naomba umuweke pembeni daktari na umzungumzie MFAMASIA kwa sababu huyu ndo custodian wa dawa,huyu ndio baba wa dawa. Kuna clinical pharmacist, community pharmacist na industrial pharmacist, huyo wa tatu anafanya kazi kiwandani. So four damn years in pharmacy school tunasoma dawa tu na muingiliano wake mwilini. Sasa huyo chemical engineer atabuni vipi dawa, bioavalaibility yake, shelf life, side effects zake, route of administration au drug form whether liquid, solid or aerosol ikiwa hajawahi kusoma physiology au anatomy. Hivi inawezekana engineer amuelekeze mtu kuhusu controlled au sustained drug release. Hao maengineer wanadeal na formula ambazo zimehakikiwa na wafamasia na zipo kwenye pharmacopeia ambapo maarufu ni British na American pharmacopeia. Kwa hiyo kwa suala la dawa ishu ipo kwenye formula na sio uzalishaji, hapo ndio concern yangu ilipo. Mkuu huu ni uelewa mdogo nilio nao nadhani kwa uzoefu wako unaweza nisahihisha kama nimekosea
 
Sasa anayeumwa ni Engineer tuu, je Dr haumwi...? Au ndo debate za lasaba vitu vyenyewe haviusiani
 
Back
Top Bottom