Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

STOP DECEIVING YOURSELF! It takes the spirit of prophecy to understand a prophet
Matendo yanayoonekana kwa macho yanahitaji spiritual ??? We umeonekana live watukana watu Ni common sense tu kujua huyu Ni muongo.
Mtawajua kwa matendo yao
 
Amani na iwe kwenu.

Hakuna mtu awezaye kumtumikia Mungu pasipo kusimama kinyume na nguvu za giza. Kama ilivyokuwa kwa vizazi vilivyopita, shetani anaendelea kutenda kazi kupitia makanisa. Shetani anaonekana kuwa ndiye mfadhili wa makanisa mengi kwa sasa wakati huo akitumia kila hila kuwazuia watu wasipate maarifa ya Biblia, ambayo yana maonyo juu ya udanganyifu wake.

Kwa sasa Limeibuka wimbi kubwa sana la mitume na Manabii, ndani na nje ya nchi yetu. Sipingi uwepo wa manabii na mitume, maana hizi ni karama za roho mtakatifu. Efeso: 4:11:14; "naye alitoa wengine kuwa mitume na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wanjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu"

Maana kazi ya karama ni kulijenga kanisa la bwana. Efeso 2:19-20 " Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, mmjengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni" .

Shabaha ya ujumbe huu si kumuhukumu yeyote wala kumchafua mtumishi yeyote wa Mungu au kuhuchafua ukristo bali ni kuwafichua hawa wanaojiita manabii na mitume uchwara wa sasa wanaotumia miamvuli ya dini kutapeli watu, kudhulumu watu, kutenganisha ndoa za watu, kubaka na kunajisi watoto. Wanatumia njia za mkato kuutafuta utajiri na umaharufu kwa kufungua makanisa kama maduka ya biashara, na kutumia kila njia kuvuta waumini ili kuwalaghai na kuwaibia. Hawana tofauti na wezi, majambazi, wauaji, wapiga ramli. Kutwa wanashinda kwa waganga wa kienyeji hata kutoa watoto wao, ndugu zao au waumini wao kafara " Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa kristo. Wala si ajabu maana shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru" (2 Wakoritho 11: 13 - 15).

Hawa mitume na manabii wamejaa ndani ya makanisa wanatumia Jina la Yesu huku wametumwa na shetani kuwadanganya wateule ili wapotee na kujitenga mbali na Mungu. "Watu hawa huniheshimu kwa midomo, ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisha yaliyo maagizo ya wanadamu...waacheni, hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake watatumbukia shimoni wote wawili" (Mathayo 15:8-14.)

Hatuwezi kuendelea kuona watu wakitapeliwa, wakidhumiwa, watoto wakibakwa, wakifarakanisha ndoa za watu. Hatuwezi kusubiri Mh Magufuli aje alikemee hili, japo Nchi yetu haina dini ila watu wake wana dini na watu ni sisi sasa iweje tuendeleea kuona ushenzi unafanyika, utapeli wawazi alafu tuendelee kunyamaza kimya?

Nimeshudia matukio mengi ya hawa watu wanaojiita mitume na manabii. Mama mmoja mjane kauza nyumba yake baada ya nabii mmoja kumwambia Mungu amempa maono ili apone kabisa maradhi yake aliyonayo anatakiwa amtolee Mungu sadaka kwa kila mwaka wake mmoja atoe elfu 50. Bibi ana miaka 58, sasa zidisha kwa kila mwaka mmoja atoe 50 Mara miaka 58 utapata bei gani. Je utapeli kama huu tuendelee kuuvumilia tu? Na sasa wametajirika kwa biashara ya mafuta, chumvi, vitambaa, maji ya upako. n.k wananunua watu kutoa shuhuda za uongo kuvuta watu. Mabinti wetu wanabakwa na wao, wanachukua hovyo wake za watu, wengine wanageuza waumini kuwa misukule hata akisema nini waumini wanafuta tu kama hamnazo vile.

Nitawataja hawa manabii na mitume wa uongo. Yesu alisema kwa matendo yao tutawajua. " Jihadharini na Manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa- mwitu wakali . Mtawatambua kwa matendo yao." (Mathayo 7 :15-16 )

1: BG: Malisa wa kanisa la Ukombozi ministries for all nations.
2: Nabii na Mtume Peter Nyaga wa kanisa la Miracle center,
3: Nabii Frank Kilawah, wa kanisa la Shiloh Ministries.
4: Nabii George David Kasambale.(Geordivie) wa kanisa la Geordivie Ministries au Ngurumo ya Upako.
5: Nabii na Mtume Boniface Mwamposa (Buldozer ) wa kanisa la Inuka uangaze.
6: Nabii Frora Peter wa kanisa la Yesu kristo, huduma ya maombezi na uponyaji. Mbezi.

Hawa ni wachache nitaendelea kuwafunua kwa kadri Mungu atakavyonipa mafunuo juu ya watumishi hawa. Sitaogopa kuwataja kwa majina yao. Katika kila kizazi Mungu ametuma watumishi wake kukemea dhambi duniani na kanisani pia.
Unasema kwa sababu haujapita kwenye magonjwa ya kutisha! Husiwalaumu wanaoenda huko, watu wanamatatizo yaliokosa ufumbuzi. Ni bora ukanyamaza yasije yakakukuta.
 
Wanaoenda kwa manabii Uchwara?
 
Matendo yanayoonekana kwa macho yanahitaji spiritual ??? We umeonekana live watukana watu Ni common sense tu kujua huyu Ni muongo.
Mtawajua kwa matendo yao
Huyo ni

TAPELI

MWIZI

MWONGO

MUHUNI MKUBWA
 
Kwa wale ambao wanaenda kwenye haya Makanisa yenye Manabii na mitume hivi hadhi ya hawa manabii na mitume ni sawa ni wale tunaosoma kwenye Biblia au ni vipi, maana Manabii kama Elia/Elisha kulipotokea tatizo la mvua walimlia Mungu mvua ikapatikana, kulipotokea njaa na ukame hata jangwani chakula kilipatikana hawa manabii na mitume wa sasa wana mipaka kwa Mungu?
Usiende Mbali, jiulize tu...Ni nani amewapa huo UNABII NA UTUME?
 
Kuna nabii yupo pale Arusha Kisongo kajipachika jina kuwa ni nabii mkuu [sijajua kigezo alichotumia mpaka kujipachika jina kuwa yy ni nabii mkuu] huyu waumini wake wana makundi katika utoaji wa sadaka, kuna diamond, silver nk na kila kundi hapo lina kiwango chake cha sadaka, ana Radio inaitwa N.Y.U matangazo ya radio hiyo 90% ni kumsifu huyo mungu mtu.
Ana magari ya kifahari, matrekta na mashamba ambayo kayapata kutoka kwenye sadaka za waumini, ninachoshangaa na ambacho sipati jibu hivi haya makanisa hayana utaratibu wa kujua matoleo yao ni kiasi gani kila week na kamati za kuratibu matumizi ?
Huyo ni TAPELI GEOR DAVIE
 
Nabii wa Ngurumo ya upako je mzee Lusekelo? maana kuna siku niliingia ktiaka lile kanisa nilijuta roho yangu iligoma kabisa, nilijuta na nilipojiuza kwa ninni? moyo unanishuhudia hapa siyo, wahudumu walinizunguka na kunilazimisha nifumbe maacho kipindi cha kuabudu maana hata kufumba nilishindwa, na nikajiuliza kwani ni lazima kufumba macho au ni mtu binafsi tu vile unavyohisi kuguswa na kuanza kububujika? hapo ndiyo wakanitoa a´kabisha imani na kuanza kukemea moyoni, nikasema sirudi tenaaaa
Usiende tena...shauri yako
 
Ukitaka kuwajua hawa manabii ni wa uongo, soma stori za maisha ya manabii na mitume wa zamani, alafu linganisha na hawa wetu utawagundua, kwangu mimi kuanzia mwingira, lwakatare, lusekelo, prophet bilionea wote WEZI, ila wachungaji waaminifu kabisa kabisa wapo
Manabii gani hawa wanajipachika tu majina eti Nabii.
 
Amani na iwe kwenu.

Hakuna mtu awezaye kumtumikia Mungu pasipo kusimama kinyume na nguvu za giza. Kama ilivyokuwa kwa vizazi vilivyopita, shetani anaendelea kutenda kazi kupitia makanisa. Shetani anaonekana kuwa ndiye mfadhili wa makanisa mengi kwa sasa wakati huo akitumia kila hila kuwazuia watu wasipate maarifa ya Biblia, ambayo yana maonyo juu ya udanganyifu wake.

Kwa sasa Limeibuka wimbi kubwa sana la mitume na Manabii, ndani na nje ya nchi yetu. Sipingi uwepo wa manabii na mitume, maana hizi ni karama za roho mtakatifu. Efeso: 4:11:14; "naye alitoa wengine kuwa mitume na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wanjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu"

Maana kazi ya karama ni kulijenga kanisa la bwana. Efeso 2:19-20 " Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, mmjengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye kristo Yesu mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni" .

Shabaha ya ujumbe huu si kumuhukumu yeyote wala kumchafua mtumishi yeyote wa Mungu au kuhuchafua ukristo bali ni kuwafichua hawa wanaojiita manabii na mitume uchwara wa sasa wanaotumia miamvuli ya dini kutapeli watu, kudhulumu watu, kutenganisha ndoa za watu, kubaka na kunajisi watoto. Wanatumia njia za mkato kuutafuta utajiri na umaharufu kwa kufungua makanisa kama maduka ya biashara, na kutumia kila njia kuvuta waumini ili kuwalaghai na kuwaibia. Hawana tofauti na wezi, majambazi, wauaji, wapiga ramli. Kutwa wanashinda kwa waganga wa kienyeji hata kutoa watoto wao, ndugu zao au waumini wao kafara " Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa kristo. Wala si ajabu maana shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru" (2 Wakoritho 11: 13 - 15).

Hawa mitume na manabii wamejaa ndani ya makanisa wanatumia Jina la Yesu huku wametumwa na shetani kuwadanganya wateule ili wapotee na kujitenga mbali na Mungu. "Watu hawa huniheshimu kwa midomo, ila mioyo yao iko mbali nami. Nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisha yaliyo maagizo ya wanadamu...waacheni, hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake watatumbukia shimoni wote wawili" (Mathayo 15:8-14.)

Hatuwezi kuendelea kuona watu wakitapeliwa, wakidhumiwa, watoto wakibakwa, wakifarakanisha ndoa za watu. Hatuwezi kusubiri Mh Magufuli aje alikemee hili, japo Nchi yetu haina dini ila watu wake wana dini na watu ni sisi sasa iweje tuendeleea kuona ushenzi unafanyika, utapeli wawazi alafu tuendelee kunyamaza kimya?

Nimeshudia matukio mengi ya hawa watu wanaojiita mitume na manabii. Mama mmoja mjane kauza nyumba yake baada ya nabii mmoja kumwambia Mungu amempa maono ili apone kabisa maradhi yake aliyonayo anatakiwa amtolee Mungu sadaka kwa kila mwaka wake mmoja atoe elfu 50. Bibi ana miaka 58, sasa zidisha kwa kila mwaka mmoja atoe 50 Mara miaka 58 utapata bei gani. Je utapeli kama huu tuendelee kuuvumilia tu? Na sasa wametajirika kwa biashara ya mafuta, chumvi, vitambaa, maji ya upako. n.k wananunua watu kutoa shuhuda za uongo kuvuta watu. Mabinti wetu wanabakwa na wao, wanachukua hovyo wake za watu, wengine wanageuza waumini kuwa misukule hata akisema nini waumini wanafuta tu kama hamnazo vile.

Nitawataja hawa manabii na mitume wa uongo. Yesu alisema kwa matendo yao tutawajua. " Jihadharini na Manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa- mwitu wakali . Mtawatambua kwa matendo yao." (Mathayo 7 :15-16 )

1: BG: Malisa wa kanisa la Ukombozi ministries for all nations.
2: Nabii na Mtume Peter Nyaga wa kanisa la Miracle center,
3: Nabii Frank Kilawah, wa kanisa la Shiloh Ministries.
4: Nabii George David Kasambale.(Geordivie) wa kanisa la Geordivie Ministries au Ngurumo ya Upako.
5: Nabii na Mtume Boniface Mwamposa (Buldozer ) wa kanisa la Inuka uangaze.
6: Nabii Frora Peter wa kanisa la Yesu kristo, huduma ya maombezi na uponyaji. Mbezi.

Hawa ni wachache nitaendelea kuwafunua kwa kadri Mungu atakavyonipa mafunuo juu ya watumishi hawa. Sitaogopa kuwataja kwa majina yao. Katika kila kizazi Mungu ametuma watumishi wake kukemea dhambi duniani na kanisani pia.
Kwa kweli hao ni manabii wa uongo haihitaji roho ya unabii kutufunulia hata wanavyoongea na kujisifia utawajua tu nilisikia huyo Malisa hapatani na maiti kabisa hata afe msaidizi wake haendi kumzika

Nilisikia huyo B. G. Malisa hapatani na maiti kabisa hata afe msaidizi wake haendi kumzika
 
Jaman na masanja nae mi namuona fake pia anatafuta tu hela uchungaji wake upo kibiashara
 
Wauo
Duh hongera kwa kuwa na mafunuo hayo ya kumjua nabii wa kweli na wa uongo. Haya nambie kuhusu Mwingira na Tb joshua je wa kweli au wa uongo? Vipi kuhusu mama rwakatare?

Mkuu umefunuliwa na nani mambo haya?
Na je unathibitishaje kwamba unabii wao ni wa kitapeli?

Soma mafungu ya biblia aliyiweka hapo tatizo wengi hampendi kusoma biblia ndo maana mnayumbishwa Yesu alishafundisha jinsi ya kuwatambua kwa matunda yao
 
Back
Top Bottom