Haliali
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 574
- 263
Waziri wa fedha na mipango July 2016 alilitangazia bunge na wananchi kuwa PYE itapungua kutoka asilimia 11 hadi asilimia tisa.
Waajiriwa tulifurahia sana na bunge kwa kauli moja waliipitisha budget hiyo.
Leo ni mwisho wa mwezi wa januari 2017 yaani miezi sita imeshapita na hatujaona hayo madiliko.
Je kuna nini? Mbona kodi nyingine zilianza kazi rasmi 1 august 2016?
Je hii pesa mtakuja kutupa kama arrears?
Lini wafanyakazi tutambunguziwa huu mzigo wa kodi?
Kwa heshima na taadhi nawakilisha
asante.