Recent content by Twalyaninkomi

  1. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania Safi Mwigulu hukutetereka, Makonda ajifunze kuwa sikio halizidi kichwa!

    hapa raisi anatakiwa aweke usukuma wake pembeni! makondakta atumbuliwe tu
  2. Twalyaninkomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi maana halisi ya ndoa ni nini!

    vitisho vimezidi! tupeni na utamu unaopatikana ndani ya ndoa
  3. Twalyaninkomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimchunguze na kumfuatilia mpenzi wako kama huna uwezo wa kumuacha

    huyo mwanamke ni wa kukaa nae mbali! atakua na visasi tu siku za usoni anaweza lipiza na kukuumiza zaidi uyo jamaa akomae amove on uyo demu atazoea tu
  4. Twalyaninkomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kutengeneza visababu vingi, semeni tu sitaki kama haupo tayari

    pole sana mkuu! siku ukigundua watu wa aina yako hutapata tabu zote hizi, tafuta level yako utakua unawavuta mkono tu
  5. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    manji mwenyewe alisema gazeti litakalo mwandika vibaya lazima adili nalo
  6. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania KERO: Usumbufu wa makonda na wapiga debe wa daladala kituo cha kilombero jijini Arusha

    badilika dogo hizo isue waachie akina faiza! mwanaume angalia opportunity uchape rapa
  7. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania KERO: Usumbufu wa makonda na wapiga debe wa daladala kituo cha kilombero jijini Arusha

    mkuucnafikiri hili swala sio la kuiachia chadema kwa sababu ya jimbo hili liko chini yake! serkali kwa ujumla wake walishughulikie hili kwa pamoja jiji litakua safi
  8. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania KERO: Usumbufu wa makonda na wapiga debe wa daladala kituo cha kilombero jijini Arusha

    Kheri Jf! Nimepata kufika jijini Arusha kikazi kwa muda wa siku 5 tu, leo siku ya tatu yaaani kero kubwa kwa watumiaji wa usafiri wa umma (daladala) jijini hapa ni katika kituo kidogo cha daladala kilombero kilichopo katikati ya jiji. Kiukweli wale vijana wapiga debe ni kero kubwa, yaani mtu...
  9. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania Mapenzi mbashara ya clouds media na kukosa mvuto

    ahahah aibu kwa Tbccm!
  10. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania Mapenzi mbashara ya clouds media na kukosa mvuto

    ni kuendekeza ujinga tu! tumuombe rais asitishe shughuli jizi za valentine kama alivyofanya katka sherehe nyingine muhimu! watu wafanye kazi
  11. Twalyaninkomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyimbo gani zinaweza kurudisha mood yako sawa unapokuwa na msongo wa Mawazo? Your Inspiration songs?

    Grace matata free soul!
  12. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania Waya: Ngoma mpya ya Joh Makini mbaya kuliko zote toka kwake

    nasikia fid kaibeba hii ngoma! joh anatia huruma kwa kweli anahitaji kushikwa mkono akubali tu hii ngoma mbaya
  13. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akibadilisha Mawaziri, hawa lazima waende na maji

    Sina wasi wasi na utendaji kazi na January Makamba, hofu yangu ni je Ndalichacho atakuepo?
  14. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania UDSM tupunguzeni masifa sasa

    kasome UDSM na wewe kama unaweza then uje na mrejesho utakua unajisikiaje! waache wafanye yote kile ndio chuo cha taifa
  15. Twalyaninkomi

    JamiiForums Tanzania KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    buku saba wewe!
Back
Top Bottom