Mapenzi mbashara ya clouds media na kukosa mvuto

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
Nmekuwa mfuatiliaji wa kawaida tu wa vipindi vinavyorushwa na clouds tv na clouds fm.
imekua kawaida yao kila wanalolileta huchukua muda mfupi kukubalika na kucapture attention kubwa toka kwa vijana na jamii kwa ujumla kama vile kipepeo, malkia wa nguvu nk

Lakini kwa muono wangu tofauti naona hii ya mapenzi mubashara imebuma japo wanajaribu kutumia nguvu kubwa kuipush lakini kiukweli haina mvuto!

Halafu sioni umuhimu wake kwa kizazi hiki kinachotakiwa kufikiria maendeleo kufikia tanzania ya viwanda na uchumi wa kati,
clouds mbadilike kwa kweli kwani jamii inamambo mengi ya kushupalia na kujadili kwa kina kuliko hiyo mapenzi mubashara,
pia inaongeza amasa kwa vijana na watoto wadogo kuanza kujihusisha na masuala haya hatari kwa ustawi wa taifa!

Shame on you clouds
 
ni kuendekeza ujinga tu!

tumuombe rais asitishe shughuli jizi za valentine kama alivyofanya katka sherehe nyingine muhimu!

watu wafanye kazi
 
Nmekuwa mfuatiliaji wa kawaida tu wa vipindi vinavyorushwa na clouds tv na clouds fm.
imekua kawaida yao kila wanalolileta huchukua muda mfupi kukubalika na kucapture attention kubwa toka kwa vijana na jamii kwa ujumla kama vile kipepeo, malkia wa nguvu nk

Lakini kwa muono wangu tofauti naona hii ya mapenzi mubashara imebuma japo wanajaribu kutumia nguvu kubwa kuipush lakini kiukweli haina mvuto!

Halafu sioni umuhimu wake kwa kizazi hiki kinachotakiwa kufikiria maendeleo kufikia tanzania ya viwanda na uchumi wa kati,
clouds mbadilike kwa kweli kwani jamii inamambo mengi ya kushupalia na kujadili kwa kina kuliko hiyo mapenzi mubashara,
pia inaongeza amasa kwa vijana na watoto wadogo kuanza kujihusisha na masuala haya hatari kwa ustawi wa taifa!

Shame on you clouds
Fanya yako Bob. shame on yourself jobless sucker
Why broke ppl so negative always.???
 
Kwani wamaanisha ngono mpk uwaingize watoto? Mm nilielewa ni mapenzi kwa kila mtu mapenzi live kwa mama,mapenzi mubashara kwa baba,ndugu,majirani na hata Taifa lako,majirani na wengineo,mm nimeelewa hivyo!!! Ama kweli akili ni nywele naona zangu ni kipilipili
 
Ni kweli mkuu

Ila kwa jinsi matangazo yao yalivyo yanachagizwa nyimbo za mapenzi ambazo ujumbe wao moja kwa moja ni mapenzi hayo unayoyauliza(ngono)
 
Kuna vimatangazo huwa vinawekwa dizain ya maigizo mwanaume na mwanamke vinaviashiria vya ngono sijui km ushawah yasikia..mara mwanamke anamwambia bwana njoo nikubebe nikuigeshe blablabla...zaid ya moja
 
Ni kweli mkuu

Ila kwa jinsi matangazo yao yalivyo yanachagizwa nyimbo za mapenzi ambazo ujumbe wao moja kwa moja ni mapenzi hayo unayoyauliza(ngono)
Kwa hiyo tatizo ni nyimbo siyo maneno MAPENZI MUBASHARA!!! kwani nyimbo hizo hizo ndo zinazopigwa na kwenye vipindi vingine mkuu!!
 
...Hivi Mubashara si ni Live au moja kwa moja? Ni kwa namna gani mapenzi yanaweza kuwa mubashara? napata shida na hiki kiswahili kwa kweli...Why wasiseme '' MAPENZI MOTO MOTO''?
 
Fanya yako Bob. shame on yourself jobless sucker
Why broke ppl so negative always.???

...Huu ni mtazamo potofu sanaaa, halafu unawezaje kujua status ya kikazi au kiuchumi ya mtu anayepost hapa? Hapa Tanzania mijini na vijijini kuna watu wengi tuu masikini, na hata milo 2 kwa siku ni ishu je nao unawaweka kwenye gunia lako kuwa ni negative always?? Haya Trump si ni bilionea? na amekuwa rais je yeye ni positive always?
 
...Hivi Mubashara si ni Live au moja kwa moja? Ni kwa namna gani mapenzi yanaweza kuwa mubashara? napata shida na hiki kiswahili kwa kweli...Why wasiseme '' MAPENZI MOTO MOTO''?
Ni upotoshwaji tu wa kiswahili
 
Back
Top Bottom