Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,666
- 6,742
- Thread starter
- #41
Wanataka waigeuze kuwa fulsa wapige hela la wanaume wa darWanaikazaniasana hiyo Valentine kwa kweli sijui lakini mimi sijawahi ielewa
Wanataka waigeuze kuwa fulsa wapige hela la wanaume wa darWanaikazaniasana hiyo Valentine kwa kweli sijui lakini mimi sijawahi ielewa
NawachanaUnaweza kuwa na mawazo yako pia!
fanya yako na ww
unatafuta nn kwenye nyuzi za wenzio?
He he EA RAdio nawakubali sanaEA RADIO WAO WAMEKUJA NA bambaaa tuuuu bambaaaaa mwezi mzima huu wa POili
Kunywa maji ba's maana povu lakutoka kama vile ndo mtoa post...Huu ni mtazamo potofu sanaaa, halafu unawezaje kujua status ya kikazi au kiuchumi ya mtu anayepost hapa? Hapa Tanzania mijini na vijijini kuna watu wengi tuu masikini, na hata milo 2 kwa siku ni ishu je nao unawaweka kwenye gunia lako kuwa ni negative always?? Haya Trump si ni bilionea? na amekuwa rais je yeye ni positive always?
... Drink beer save water, napata serengeti bariidi hapa hahaaa...Kunywa maji ba's maana povu lakutoka kama vile ndo mtoa post![]()
![]()
Wapeni ajira jamani maana hasira zao zinatuua uku.
Hahaha Cheer's... Drink beer save water, napata serengeti bariidi hapa hahaaa...

ahahah aibu kwa Tbccm!Hao
Hao Clouds wanaweza wakamwalika JPM na Mkewe na akaenda!!!!!
Peleka malalamiko TCRA. Tuko wengi wenye plan hizo!Nmekuwa mfuatiliaji wa kawaida tu wa vipindi vinavyorushwa na clouds tv na clouds fm.
imekua kawaida yao kila wanalolileta huchukua muda mfupi kukubalika na kucapture attention kubwa toka kwa vijana na jamii kwa ujumla kama vile kipepeo, malkia wa nguvu nk
Lakini kwa muono wangu tofauti naona hii ya mapenzi mubashara imebuma japo wanajaribu kutumia nguvu kubwa kuipush lakini kiukweli haina mvuto!
Halafu sioni umuhimu wake kwa kizazi hiki kinachotakiwa kufikiria maendeleo kufikia tanzania ya viwanda na uchumi wa kati,
clouds mbadilike kwa kweli kwani jamii inamambo mengi ya kushupalia na kujadili kwa kina kuliko hiyo mapenzi mubashara,
pia inaongeza amasa kwa vijana na watoto wadogo kuanza kujihusisha na masuala haya hatari kwa ustawi wa taifa!
Shame on you clouds
Nikuwapuuza tu hamna kuwafuatiliaPeleka malalamiko TCRA. Tuko wengi wenye plan hizo!
Whatever. Kwa kifupi hiyo radio haina maadili. Inaendeshwa hovyo hovyo na wenyewe wanasema you just wing it. Vitu vingi spontaneous.We mwenyewe unaebisha na kulalama oooh sijui clouds wamefanyaje, wewe hapo umetokana na mapenzi sa sijui tatizo liko wapi.
Hicho ni kitu kiko kwenye maisha yetu ya kila siku usikute wewe hapo hata wiki haijaisha tangu uzini
Naskia yuko bize na ujenzDiva yuko wapi kwani nyie watu wa dar