goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Maana halisi ya ndoa ni hii.
Hakuna kingine mkuu.
Ni kupika kiumbwee kingiiAliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea.
Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
No way mkuu.Kwani ndoa zinafanana?like father,like mother...hapa atalishwa kila kitu mpaka kucha na nywele.Mmmmh hiyo ilikua zamani sana Mkuu siyo maisha ya leo
Aliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea.
Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
Kwahiyo wewe unaenjoy nje zaidi kuliko kwamkeo?Ndoa hakuna bali ni ujanja ujanja kutimiza wajibu, Huwezi tosheka ndani ya ndoa kuna mtu ukionja utakumbuka uliyenaye sio kitu chochote, Wengi huishia kuchepuka ndoa kwa kifupi ni usanii tu Just watu kuonekana wana family, Lakini nje ya ndoa kuna vitu vitamu na vinajua mambo, ndani kuna muda mnachokana
Ndoa zote zinachangamoto ndugu inawezekana tena yako hikawa haina changamoto sana ukisikiliza changamoto za wenzio chamsingi Kama umeshaingia ktk ndoa kua mvumilivu tu, yatapiza.Aliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea.
Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
Siri ni kwamba kwenye hii vita mbinu ni moja tuu mmoja wenu amuwahi mwenzake kumloga na hasa hasa mwanaume mloge mkeo haraka haraka kipindi kile cha hani muni,Aliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea.
Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
Kwa mara ya kwanza naona adui anaomba vita.Tafadhari Sky, naomba hiyo vita anayoizungumzia mtoa mada nishiriki na wewe..!
Huwa ni vita salama..
Jichanganye umwambie mwanamke wa aiku hizi eti ni msaidizi ndoo utauona moto wa ndoaNdoa ni taasisis aliyoiasisi Mungu mwenyewe,,,,, na akaweka misingi ya kuidumisha,,, na ndoo maana alisema,,, sii vyema mtu huyu aishi peke yake,,, nitamfanyia msaidizi wa kufanana nae,,,,
Ndoa ni jela ya hiyari, walionjee wanatamani kuingia, waliondani wanatamani kutoka.Aliyesema ndoa ndo vita pekee ambayo maadui wanashea kila kitu hakukosea.
Hivi nyie ambao ndoa zenu zina mhili mzuri na zinadumu huwa mnatumia mbinu gani mnisaidie na mimi mwenzenu!
Taasisi ya ndoa kuvamiwa na ibilisi na kuleta uharibifu, haina maana kuwa alichosema Mungu haipo,,,bado mwanamke ni msaidizi kama alivyosema Mungu,,, na ataendelea kuwa hivyo hata kama kwa wengine haiwi hivyo,,hakuna sehemu yenye raha na furaha kama kwenye ndoa,,,,,Jichanganye umwambie mwanamke wa aiku hizi eti ni msaidizi ndoo utauona moto wa ndoa
Hivi kweli mtu unatoka kwenda kupiga nje demu ambaye hujui masaa machache yaliyopita alikua analamba dushe la nani. Unamuacha mke wako ndani yuko salama na msafi unaenda kufakamia bacteria nje. Wanaume wenzangu tujalini afya zenu. Wanawake wengi wa nje si salama kwa matumizi.Kwahiyo wewe unaenjoy nje zaidi kuliko kwamkeo?
Mbinu hii ya kuwahiana ntaifanyia kaz mapemaSiri ni kwamba kwenye hii vita mbinu ni moja tuu mmoja wenu amuwahi mwenzake kumloga na hasa hasa mwanaume mloge mkeo haraka haraka kipindi kile cha hani muni,
Ukimloga unakua umejikatia kibali cha kumuweka kwenye mwelekeo wa mawazo yako kam baba wa familia
Lakini ukaendekeza haki sawa umeumia loga ndugu logaaaaaaaa........
Nimekupenda bure tuHivi kweli mtu unatoka kwenda kupiga nje demu ambaye hujui masaa machache yaliyopita alikua analamba dushe la nani. Unamuacha mke wako ndani yuko salama na msafi unaenda kufakamia bacteria nje. Wanaume wenzangu tujalini afya zenu. Wanawake wengi wa nje si salama kwa matumizi.