Recent content by TWALICIOUS

  1. TWALICIOUS

    Hili sasa ni tatizo!

    Hata mimi camin kama kweli huyo jamaa anajiita yuko kazin ni professional kama co wale wa undugulization na kama c levo yko ni certificate ba2 ni primary na waliokazn wasemeje? Kwan hta ushoga nh kazi?
  2. TWALICIOUS

    Hili sasa ni tatizo!

    Ama kwa hakika umeme kama wimbo wa taifa sasa 2megoma kuimba...ikiwa kama chuo kikuu cha taifa na dunia kwa ujumla umeme umekatika unafkiri kuna kinachoendelea kweli hali imeendelea kujitokeza katika chuo kikuu cha dar es salaam maaruf kama udsm baada ya wanafunz kushndwa piga lecture et umeme...
  3. TWALICIOUS

    Maisha ya kuchuo bila boom mh............................

    Naona wachangiaji hamjaelewa meaning of da topic
  4. TWALICIOUS

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Xctly the man was gud bt hw ths contradictd occurs wth capitalists can u elaborate more?
  5. TWALICIOUS

    Maisha ya kuchuo bila boom mh............................

    Maana yangu ni kwamba hakuna usawa katika ugawaji wa mikopo kwan mpaka sasa cjajua wame2mia vigezo gan katka kufanya selection za hao walio wap tht loans
  6. TWALICIOUS

    Maisha ya kuchuo bila boom mh............................

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika vyuo tofaut nchi kukosa Mkopo ukilinganisha uwezo wa wazazi wao kuwa wa chini hali hii imewafanya baadhi ya wanafunz hao kupachikwa majina kibao kama vile NO LOANS member na kusababisha kuishi maisha magumu chuoni...
  7. TWALICIOUS

    UDSM UDSM UDSM wanataka nini UDSM

    hatari lipini bhana mcwe kama dodoma
  8. TWALICIOUS

    Siri nzito;sali usiku wa leo kukemea kikao cha freemassons kesho

    we jamaa nan alyekwmbia frmasons ni chama cha mpnga kristo? Af v2vngne km hamjui naomba achen mcjichukulie umaaruf kwny jf kwa v2 ambavyo havina maana maana unaweza fkwa na v2 ambavyo hjawaw fkwa navyo...au unataka?
  9. TWALICIOUS

    Wapelekewa kondom badala ya dawa!!!!!!

    Wananchi wa kata ya Kasanga mkoani Rukwa,wamepelekewa boksi 10 za kondom badala dawa walizoomba bohari kuu ya dawa{MSD}.kauli hiyo ilitolewa na mbunge wa viti maalumu CHADEMA Suzan Kiwanga alipo uliza swali la nyongeza lililoelkezwa wizara ya afya na ustawi wa jamii............KIWANGA alisema...
  10. TWALICIOUS

    Ufisadi training college - new college

    ila hujasema kikowapi na principal wao ni nani!!!!!.................................
  11. TWALICIOUS

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    safi sana .......mi sidhani kama viongozi wa juu hajui juu ya suala hili Mwapachu analijua ila ana pretend tu hana lolote!!!!!!!!!!!
  12. TWALICIOUS

    Comprehensive Study Required: Impact of member of parliament- special seats in our National Assembly

    that ryt but i dont think so.....on how this special seats contribute to build the nation insteady of use the public fund for private gain......remove it by any means
  13. TWALICIOUS

    Kwa hili la wanafunzi wa mchepuo wa ART kwa O-level kusoma Biology si sawa.........!!!!

    OKEY lakin biology liwe kama subsidual lakin si credit kama ilivyo kwa O LEVEL AU SIO JAMANI
  14. TWALICIOUS

    Cheki huyu msanii.....!!!!!

    we kama hucheki ujue huna bandama SENATOR,KIWAVI SERIO... nyie mmezoe siasa kama haikuchekeshi we kidudu mtu...... acheni majungu hayajengi!!!!!!
Back
Top Bottom