Cheki huyu msanii.....!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheki huyu msanii.....!!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by TWALICIOUS, Jun 16, 2011.

 1. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna siku bwana wasanii kibao walikuwa wanafanya shoo pande za mafinga pale shimoni club!!!!kwa kawaida kabla ya kufanya show wasanii huanza kwa kujitambulisha msanii wa kwanza kujitambulisha alikua ni mr blue ye akasema" mi ni MR BLUE HAPA....watuwakafurahi saaana,sasa ikafika zamu ya msanii flani anaitwa KINYA...naye akaanza kama kawaida "yea mi ni KINYA HAPA....watu wakaanza kusema "usitulete mambo ya ajabu we ukinya utazoa mwenyewe na hela za kiingilio mtaturudishia we vipi weeee!!!! kunya uone balaa lake.......ha ha ha haaaaaa
   
 2. serio

  serio JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,613
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  sory,.try your luck somewhere else, but not in comedy
   
 3. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,655
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  infants hao.... jokes za kikimba-kimba
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,935
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  hata haichekeshi kabsa.
   
 5. L

  Listener92 Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acheni izo nyinyi..kama haikuchekeshi iache..sio mnaponda tu...wabongo bana
   
 6. a

  andry surlbaran Senior Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha nimecheka hapo kwenye red
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,346
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Wako likizo hawa wadogo zetu.
   
 8. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we kama hucheki ujue huna bandama SENATOR,KIWAVI SERIO... nyie mmezoe siasa kama haikuchekeshi we kidudu mtu...... acheni majungu hayajengi!!!!!!
   
 9. Shidende

  Shidende Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Teeeh!Teeeeh!Teeeeeh!
   
Loading...