Kwa hili la wanafunzi wa mchepuo wa ART kwa O-level kusoma Biology si sawa.........!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili la wanafunzi wa mchepuo wa ART kwa O-level kusoma Biology si sawa.........!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by TWALICIOUS, Jun 15, 2011.

 1. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kiwa kama mdau na mwanamapinduzi katika sekta ya elimu sioni sababu ya wanafunzi wa art kwa O-level kusoma biology kwani ukiangalia kwa kiasi kikubwa asilimia 75 ya wanafunzi Tanzania hawana hzo mnazoziita maabara,wala hvyo vifaa kwa ajili ya kufanyia hzo practical assume shule ni ya kati,waalimu wa somo husika ni mmoja na maabara hakuna sasa wanafunzi watawezaji kufanya hizo practical....sasa basi ni kiwa kama mdau wa elimu sioni sababu za somo hili kuendelea kuwepo kwa wanafunzi hao...its mental confusion tu.....assume mtu amefauli biology na alisoma art atawezaji kuapply kama arts masomo yajulikane na si kuchanganya mambo mara sayansi mara arts hizi ni athari za ukoloni tukiwa kama wana mabadiliko tuangalie juu ya hilo!!!!
   
 2. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Liachwe tu.Vijana wanafaidika katika kujijua kibaiolojia kama kubalehe,kuvuja damu kwa wasichana,magonjwa ya zinaa,kuepuka mimba zisizotarajiwa,kujitunza yaani usafi na elimu ya uzazi kwa ujumla nk
  Sidhani kama biology ya o'level inahitaji saaana kwenda maabara
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Usiangalie suala la mitihani tu. Somo la Biologia ni muhimu kwa kila binadamu kwa maisha yake mwenyewe. Tatizo si wabongo tumezoea kusomea mitihani.
   
 4. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Waache wenzako wasome kama wewe ilikushinda sio uwasemee wengine, kunatopiki nyingi za o level ambazo zinamanufaa ya moja kwa moja kwa wanafunzi. Kama kigezo ni maabala basi ni vema ukashauri zijengwe maabala, badala ya kutatua tatizo kwa kuzalisha tatizo jingine.

  Thanks kwa wazo lako lakini
   
 5. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  OKEY lakin biology liwe kama subsidual lakin si credit kama ilivyo kwa O LEVEL AU SIO JAMANI
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  umeona eeh! Dogo anaona somo kama mzigo bila kufikiria umuhmu wake, tena biology topic ya reproduction inawafaa sana maana madogo wa sec kwa kukamata ujawepesi balaa!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  someni! Na somo la kilimo wawaongezee.
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Vipi kuhusu somo la sayansi ya viumbe(sayansi) shule ya msingi lina tija yoyote ?
  Wewe kama biology imekushinda acha wenzako wasome!
   
 9. m

  mbaba Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  biology linasaidia sana japokuwa halina combination arts, but inahelp student to understand himself,kama ndivyo bas na G.s itolewe kwa A-lev science,kwa O-lev arts biology nisawa na subsidual coz ata ukifel hilo auzuiwi kwenda advance
   
Loading...