Hili sasa ni tatizo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili sasa ni tatizo!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by TWALICIOUS, Oct 31, 2011.

 1. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ama kwa hakika umeme kama wimbo wa taifa sasa 2megoma kuimba...ikiwa kama chuo kikuu cha taifa na dunia kwa ujumla umeme umekatika unafkiri kuna kinachoendelea kweli hali imeendelea kujitokeza katika chuo kikuu cha dar es salaam maaruf kama udsm baada ya wanafunz kushndwa piga lecture et umeme umekatika na there no altenatv way...swali la kujiuliza ikiwa kama chuo kinachotegmewa kutoa maprofesional weng wenye uwezo wa kusaidia taifa hili je kwa hali kama hii itawezekana kweli?
   
 2. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  We upo chuo kweli? Mbona hoja zako hazieleweki? Unataka tujadili hicho chuo cha dunia au tujadili tatizo la umeme? Kajipange upya.By the way moderator please katika process za usajili kuwa member tunaomba uweke swali la kuuliza kama mtu ni mentally fit maana kwa hali JF itajaa watu wasiojitambua.Mimi niko kazini nimesoma Nairobi huyu kasoma sijui wapi huko anatuweka akili juu kuona title ya maana kumbe upuuzi mtupu.
   
 3. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kiivyo unachotakiwa ww ni kumjibu,sio kumchamba
   
 4. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi camin kama kweli huyo jamaa anajiita yuko kazin ni professional kama co wale wa undugulization na kama c levo yko ni certificate ba2 ni primary na waliokazn wasemeje? Kwan hta ushoga nh kazi?
   
 5. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  nawasisi na elimu yako,kama ulikua unasoma kwa kukariri ili upate kalai(grade c) basi umepata hasara kubwa sana ya kupoteza muda shuleni.Yani mwanachuo hujui nini maana ya kazi? What is a job? Nakumbuka haya ni maswali ya form 1 kama sijakosea,ushoga huwezi kuuhalalisha ukawa kazi labda ukawape masaburi yako wabunge wote wa kiume wanaweza wakauweka katika sheria kuwa ushoga nao huwo katika kazi halali.Behave mdogo wangu humu kuna baba zako.
   
 6. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  we kaa ukijua kwa sasa huku JF pre-form 1 wamezamia hili jukwaa
   
 7. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,064
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  hebu tutolee huu upumbav wako!et chuo cha dunia,kinategmewa na taifa...we una akili sawasawa kwel?
  Hao graduat wanaotegmew na taifa wamefny nn kudhihrisha kweli Taifa linawategemea?mbona ss unalalamika umeme hamna?acha kupiga promo humi kijana unalipwa?kweli pre 4m1 washavamia JF,
   
 8. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Hapa ni ugomvi wa kuvinadi vyuo
   
 9. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nahisi ww ni pre nusury
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hivi na usomi wenu wote na vitengo vyote, vya sayansi mmeshindwa mpaka leo kujifulia umeme wenu wenyewe? sasa mnasoma nini, si bora muingie mitaani tu? Mie ambae sipo huko chuoni lakini umeme wa TANESCO ukikatika najitegemea kwa umeme. Unanshangaza!
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,394
  Trophy Points: 280
  councelor na vice counselor wa udsm kateuliwa na nani?aliyemteua na sera ya chama chake haina maana kama chuo kinashindwa kuzalisha umeme
   
Loading...