Maisha ya kuchuo bila boom mh............................ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha ya kuchuo bila boom mh............................

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by TWALICIOUS, Oct 27, 2011.

 1. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika vyuo tofaut nchi kukosa Mkopo ukilinganisha uwezo wa wazazi wao kuwa wa chini hali hii imewafanya baadhi ya wanafunz hao kupachikwa majina kibao kama vile NO LOANS member na kusababisha kuishi maisha magumu chuoni mbali na hapo kuna ishu za kubebana kwenye vyumba utakuta baado kuna changamoto nyingi chuoni na kupelekea watu kutosoma kwa raha na hatimaye kushindwa masomo yao........nini kifanyike kuepka swala hili...
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama uli fail sie twahusika vipi.
  OTIS.
   
 3. It is Sur_Plus

  It is Sur_Plus Senior Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unamaana kwamba waliokosa ni walio feliiiii au.....? mbona kuna wanafunzi walio na div one nzurisana na wamenyimwa afu vilaza walio pata div 3 zakuchechemea wamepata
   
 4. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hivi kumbe na wewe ni kilaza!!!
   
 5. l

  len Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wanafunzi waTZ wazeni pia kutafuta scholarships, acha kutegemea tu bodi ya mikopo
   
 6. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maana yangu ni kwamba hakuna usawa katika ugawaji wa mikopo kwan mpaka sasa cjajua wame2mia vigezo gan katka kufanya selection za hao walio wap tht loans
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mdau kuna watu wana one wapo mzumbe hawana boom,
   
 8. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Usipende kuangalia matokeo angalia upatikanaji wake,mfano sio kila mwenye div 3 ya kuchechemea ni kilaza by the way kilaza ni wewe ulie pata div 1 kali halafu bodi(heslb) wamekutosa mkopo,na unadhihilisha ukilaza wako kwa sababu mpaka sasa hamjui kitu kilicho sababisha mpigwe chini,wewe umesoma majengo umepata div 1 mimi nimesoma kisiju sekondari nimepata div 3.16 hivi hapa nani kichwa? Kwa mazingira ya hii shule wewe ukiwekwa wa majengo utachezea div 0 na sio kingine,Naona sasa umepata mwanga kwanini umenyimwa mkopo na div 1 yako kali.WANAANGALIA UMESOMA SHULE YENYE UBORA KIASI GANI,MAMBO KAMA UYATIMA NA MWISHO MWAKA HUU HAWAJAANGALIA HABARI YA COURSE ZOTE NI SAWA except fani za afya ndio wamepata vipaumbele.
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Naona unautetea ukilaza! Hata usome chini ya mwembe, kama wewe ni kichwa utafaulu tu!
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Taahira Naye anachangia
   
 11. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  nilikua sijui kama humu JF kuna wagonjwa wa akili kumbe wamo.

  Ila usijali mwarubaini wa tatizo lako umepatikana,ukitaka kufaulu mitihani lazima awali ya yote ziwepo facilities kama vitabu(mostly vya past paperz),kalamu,vifaa vya mahabara,viti+meza,mwanga wa kutosha(taa kwa ajiri ya kutoboa),sasa huyu wa chini ya mwembe hana halafu wa kishua anavyo,mwisho wa siku unawaingiza katika pambano moja(NECTA) bila kujali maandalizi yalikuwa vipi,hivi kwa mwenye akili anakubaliana na hili? Mimi binafsi sikusoma katika mazingira hayo magumu lakini hao watu tumeishi nao na sio vizuri kuwapa hayo majina hawastaili kuitwa hivyo,ila kama kilaza muite alie soma feza boys halafu akapata div 3,ila kabla hujamuita angalia records zake inaweza ikawa ni bahati mbaya tu kufeli lakini anajua vitu.
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Unazidi tu kuonyesha ukilaza wako!
  1. Unasoma kwa kutumia past. peparz..hii inamaanisha kuwa unasoma ili kufaulu mtihani na wala si kuelewa.
  2. Taa kwa ajili ya kutoboa. Watu wenye akili zao huwa watoboi. Hawana elimu za kuzima moto. Muda wa mchana unatosha kabisa kushika kile ulichofundishwa.
  3. Kufeli kwa bahati mbaya. Hamnaga bahati mbaya when it comes to exams! Kama hujui hujui tu.
   
 13. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  wewe ni mwenyekiti wa vilaza tz! jaribu kuangalia vigezo vinavyotumiwa na bodi kutoa mikopo na pia jenga utamaduni wa kusikiliza vyombo vya habari [simaanishi clouds fm, eatv..]
   
 14. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  mimi sibishani na wewe maana kama kibongo bongo kuna haja ya kuelewa somo kama physics ungesikia tumefanya changes zozote za theories na principles zake mbona tunaishia kucopy na kupaste,Tuliosoma gvt tunajua jinsi ya kutoka na hizo div 1.3 mpaka 2.12 zote ndio system zetu kwa comb za sayansi,Ilikuwa kitambo sana enzi niko shy bush na masela wangu wa tabora boys nadhani mnakumbuka.
   
 15. TWALICIOUS

  TWALICIOUS Member

  #15
  Oct 29, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona wachangiaji hamjaelewa meaning of da topic
   
 16. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  waliopata one wakakosa mkopo ni wale ambao walidisco vyuo vingine wakaomba tena mkopo! sawasawa????
   
Loading...