Recent content by tutunfyekyela

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mtaka umesifiwa mbio mpaka umepapita kwenu.

    Mtaka,mtaka,mtaka mwenye hekalu lake huko majita/suguti ngoja nkuache tu mkuu wa nkoa
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu anatokwa na vipele vingi sana

    Tafuta ukwaju(asilia siyo ule wa azam) loweka uwe unamnywesha mara kwa mara ndani ya siku tatu lete mrejesho hapa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mwanaume na mwanamke

    Mbona hujasema mwanaume anaweza kuwa bar huku anakunywa bia wakati huo huo anapiga stori za mademu/anaangalia mademu hiyo si ni multitask pia,anagonga bia,huku anachati afu anaangalia pisi kali
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Nacte au Wizara ya Elimu ili nitoke Tamisemi

    Ungekua unalipwa Salary ya TGTS G ningekushauri uombe uende idara ya uthibiti ubora wa shule ambayo iko wizara ya elimu japo mshahara utabaki kuwa ule ule na hakuna posho kama unayopata saiv uliko.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Google pixel na kamera kali

    Hivi ukikosa ifoni mtoto wa kiume unatafunaje dadaz?? Nunueni ifoni aisee totoz unatafuna kama una toyota raum
  6. T

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde mtumishi au mjasiriamali, usikope Bayport kabisa, ni wahuni na matapeli

    Ongeza na platnum ya yule bwana alojua mkurugenzi wa nyumba nyeupe enzi za JK
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naenda Nairobi, wapi nitapata lodge ya bei rahisi?

    omondi lodge
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kabati na washing machine vinauzwa

    Vyote nkupatie laki 7 mkuu,kama upo tayari ntume mtu aje akague sasa hivi avichukue anitumie huku Ipinda
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hivi nani anaegharamia pesa haya mashindano ya SHIMIWI

    Ihefu sports Club
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta? Ikiwa mimi natumia gari?

    Maniner sisi huku ubaruku mafuta 1500 kwa lita
  11. T

    JamiiForums Tanzania Je Mfumo wa Gesi una madhara gani kwenye gari?

    Mbeya kituo kiko sehemu gani?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Hongera Bahati mwalimu wangu wa chuo
  13. T

    JamiiForums Tanzania Pombe na Wanawake ni Sababu ya kutoendelea Kwa wanaume wengi

    Kuna watu twapiga pombe na hizo mwanamke lakini maendeleo tuliyo nayo huwezi linganisha na babako mdogo🤣🤣🤣
Back
Top Bottom