Msaada: Mwanangu anatokwa na vipele vingi sana

slmnd

Member
Dec 12, 2023
46
82
Habari Wana JF,

Naomba msaada Mwanangu anatokwa na vipele vingi sana na vinazidi kuenea mwili mzima (vidogo vidogo) mpaka anakuwa mwekundu kwa kujikuna mara kwa mara.

Nilienda pharmacy walinipa Calamine lotion nikawa nampaka lakini bado ,nilienda hospital walimpima mchafuko wa damu , lakini damu iko safi na walinipa silverex ambayo nimetumia kwa wiki sasa lakini bado pia.

Naomba msaada
 
Habari Wana JF

Ana umri gani?? Piga picha chap na haraka nikuandikie dawa hapa
 
Habari Wana JF
Naomba msaada Mwanangu anatokwa na vipele vingi sana na vinazidi kuenea mwili mzima (vidogo vidogo) mpaka anakuwa mwekundu kwa kujikuna mara kwa mara.
Nilienda pharmacy walinipa Calamine lotion nikawa nampaka lakini bado ,nilienda hospital walimpima mchafuko wa damu , lakini damu iko safi na walinipa silverex ambayo nimetumia kwa wiki sasa lakini bado pia.
Naomba msaada
Kwan unapoishi hakuna hospital? Afya ya mtu hasa mtoto mdogo ni kitu sensitive sana lazima uonane na wataalum sehemu sahihi, sasa ww ngoja upewe matangori pori humu ndani ukamlishe dogo kesho uje na Uzi mwingine wa kuomba msaada
 
DR Mambo Jambo
 
Huo ugonjwa anaousemea (kama ndo wenyewe ndo maana nkaomba picha) ni popular nowadays!! This week nimeattend watoto zaidi ya 16 wakiwa na ugonjwa wa hivyo hivyo yaani scabies infestations!! Trust me akija na picha utaona.
 
Yeah Kwa sasa watoto 70% wanaugua scabies Nimeona hicho kitu pia na wenginni chini ya Miaka 3
 
Watu wanafanya shortcut mpeleke kwa dermatologist au GP yoyote.

Hapa utaishia kuingia kwenye chances kubwa za kufanya incomplete therapy.

Huko utaulizwa family history , mazingira unayokaa , aina ya vitu mtoto anayotumia(mafuta au manukato yoyote) watachukua sampuli sahihi kujua tatizo na utapata utatuzi sahihi zaidi.
 
Labda baada ya Bima kwa wote!! Mambo mengine muwe mnaangalia mazingira. Udaktari sio kukalili.

Just imagine mtoto anaumwa, mzazi kampeleka pharmacy ikashindikana kaja kuomba ushauri hapa we unamwambia ampeleke kwa dermatologist kwa pesa hipi??
 
Tafuta ukwaju(asilia siyo ule wa azam) loweka uwe unamnywesha mara kwa mara ndani ya siku tatu lete mrejesho hapa.
 
Hili swali Nimetoka Kujiuliza Muda si mrefu Kwa nini Hii wiki Nimekutana na watoto wengi waliojawa na upele mwili mzima Nikajua Labda Ni kawaida tu au Joto La Dar Then Nakuja Hapa Naona uzi Unaohusu Upele.Mtaani Kwangu Watoto wengi sana wamejawa na Upele Karibia Mwili Mzima Ila Usibweteke Kutafuta Tiba Huenda ni suala Tofauti
 
Mkuu weka picha na umri wa mtoto ,ili upate huduma ya consultation ambayo itakusaidia kukupa mwanga Wa kutibu tatizo lako.
 
Back
Top Bottom