Recent content by tupak

  1. T

    JamiiForums Tanzania MOI Wajiunga Tena na MGOMO

    Afya ya ulimboka sawa na afya ya wengine, tofauti ipo kwenye mchango wake katika tasnia ya afya amekuwa akipigania maslahi ya watu wote wa wizara ya afya hivyo utumwa wa ubinafsi ameushinda
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tamko la pamoja la viongozi wa dini kuhusu mgomo wa madaktari leo tarehe 07/07/2012, travertine hote

    Vyote atakubali lakini siyo kumlinda ulimboka utampigaje ntu halafu umlinde?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ana ulinzi wa aina gani?

    Hofu ya maisha ya watanzania wenye upinzani wa wazi na watawala ni kubwa mno hasa baada ya Dr ulimboka kufanyiwa kitu cha ajabu. Moja ya watu wanaoipinga serikali waziwazi ni Godbles Lema, je huyu kiumbe analindwaje? Au kuna siku naye tutamsikia ametekwa na baadaye kuokotwa mabwe pande au ni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

    Nimeipenda comment ya utamu wa shangingi ila kitufe cha like sijakiona
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mil. 90 Zinahitajika kuokoa Uhai wa Dr. Ulimboka

    Asanye hobokela kwa jitihada na poleni na mgonjwa mwenyezi mungu atamsaidi.prezidaa wetu ana aleji ya watu wanaoitwa dokitors kumbuka alichokifanya kwa silaa kwenye uchaguzi
  6. T

    JamiiForums Tanzania ACP Hemed Msangi...

    Sijaelewa nitarudi jf asubuhi maana na kasengreti kananiita hapa
  7. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka Kutema Cheche

    Kichwa cha habari hakina shida isipokuwa kichwa chako
  8. T

    JamiiForums Tanzania Nchi ipo ktk hali ya hatari, Rais kukutana na baraza la usalama la Taifa

    Hahahaaa isije ikawa kale katimu kakina ocampo kamem bip jeikeh sasa anatafuta majibu
  9. T

    JamiiForums Tanzania DR.ULIMBOKA aachwe...

    Ni usalaama wa taifa si lazima tusubiri mungu awaadhibu kinachotakiwa ni kufanya maandalizi ya kupiga kura ipasavyo huko kila mtu ana nafasi ya kutoa adhabu
  10. T

    JamiiForums Tanzania TRA kwa mtindo huu mtindo mtakusanya kweli kodi?

    Tembea na risiti uliyolipia achana na rd license
  11. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Asante kamanda Isack kwa kutuhabarisha kupitia picha safi sana na asante mungu, majaribu ya mungu ni mengi hata yesu aliuawa wakati alikuja kuwakomboa wanadamu
  12. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yavuruga ngome ya Lowassa Monduli

    Mwenzenu kule ujeremani aliambiwa asipewe habari za mshtuko jf jamani hizi habari za kuandika tunachotaka siyo mafisi wafe bali wabadilike jaman jaman ana mke na watoto na wajukuu na wakwe kama siyoi
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Mbona watu wa mbeya wakiwagusa watawala wanaadhibiwa kuliko binadamu wengine? Dr Mwakyembe,profesor mwandosya? Uwiii
  14. T

    JamiiForums Tanzania Arusha kwa sasa KWISHNEY!

    Nenda shule ikusaidie kuchangia maana analysis yako finyu mno au uliandika wakati unavuta chooni ?
Back
Top Bottom