Nchi ipo ktk hali ya hatari, Rais kukutana na baraza la usalama la Taifa

Hahahaaa isije ikawa kale katimu kakina ocampo kamem bip jeikeh sasa anatafuta majibu
 
Yawezekana hawakumwambia, hawa vihelehele wanajipendekeza sana hadi wanaharibu.
Hii imefanywa na vichwa bange huwezi ukawa na akili ukafanya unyama kama huu.

Hizi ni mbinu za kizamani sana zimepitwa na wakati kabisaaa!

Ndio, Tz katika mambo ya ubunifu, kutumia akili na kuendana na madiliko ya maendeleo ya kiuchumi, kiusalama na kidemokrasia tuko nyuma sana, bado ni wa kizamani. Lakini ktk mbinu za kuiba mali ya umma, usharobaro, mapenzi, kuiga utamaduni wa magharibi na ubitozi hatukamatiki. IQ yetu ni 80 down wakati Israel ni 120 up.
 
J.K anaenda kuwauliza usalama wa taifa kwanini hawakumuua Dr.Ulimboka? Kwa hiyo wanajitahidi kufukia kilichotokea ila it's too late CCM kwaherini. Nchi haitawaliki tena sasa hivi vita baridi ndiyo inapiganwa muda si mrefu vita ya kweli motomoto inapigwa. Kijana wangu Pinda usifikiri pale Tunisia vita ililetwa na CCM, Ivory Coast utawala ulikuwa huuhuu wa CCM, Nigeria unaonaje? Mambo mazuri yanaendelea huko vita kila kona hujiulizi kwa nini?

Libya, wananchi wamekubali kuwa waasi kwa kupewa support na Mzungu, leo hii hata sisi wananchi wa Tz tumechoka. Tunasubiri silaha tunazama msituni tunapewa support na mzungu, mwarabu, whatever tunawatoa na tunauza nchi kwa yeyote anayetupa support. Umemwaga mboga mimi namwaga Ugali kama mbaya iwe mbaya. LIWALO NA LIWE.
 
kuna matukio mengi ya watu kabla ya kufa ,wameweza pass info kwa mtu sahihi wanayekutana naye mara baada ya kujeruhiwa.Na wote walizifanyia kazi kwa kulipiza kisasi baada ya wahanga kufa kwa majeraha.Hao jamaa jamaa aliowaona pengine itakuwa na unafuu , uli akipona.Otherwise wasizeekee bongo.Na kwa ghiliba za serikali ya ccm na ukata wa nchi sijui kama kweli project ingawa imefail ,ilikuwa na dhamani ya kutosha mbadili jamaa identities zao na kufanay exchange na wa namna yao ktk nchi zingine.

Project nyingine za kishenzi na kipuuzi.
 
Anataka kuwaomba wasitishe ukafiri wa umafya dhidi ya madaktari kama ilivyotokea kwa mwenyekiti wa mgomo wa madaktari.
 
Back
Top Bottom