Dr. Ulimboka Kutema Cheche

Dr. Ulimboka Kutema Cheche

kuna haja ya kuwa na hospitali za rufaa za kisasa za jeshi
 
Hichi kinachotokea sasa ni jambo zuri. Natamani madaktari wengine wanaoleta matatizo wapate kipondo

hahahaha!ma dr watajitibu wenywf kwa wenywe hp umeona mfana kwa kamanda Ulimboka ww je nan atakutibu?huna fail bdo unaleta mdomo apa!kapime akili yako!
 
Kichwa kinasema "Ulimboka Kutema cheche". Wewe hiyo ya "Atema cheche" umeitoa wapi !!!?????
Kutema - ijayo,bado haijatemwa.
Atema - iliyopita,imeshatemwa.

Tusikurupuke kwenye kusoma na kuelewa mada.
Still does not make sense, ni habari ambayo lolote.
 
hivi kama ma dr wakianzisha njama ya kuwaulia mbali kwa madawa ya sumu wanasiasa na wanausalama wanaowawinda kuwaua itakuwa kosa? Mimi naona hii itakuwa self defense!!
 
Mada hii ni tishio kwa adui za daktari huyu shujaa. Inabidi kuwa makini sana ili adui zake wasisababishe madhara zaidi kwake!
 
Tunamwombea apone haraka ili atutemee cheche hizo, asante sana kwa taarifa mkuu.

clouds walirekodi pindi alipokuwa ana tolewa kwenye msitu wa pande akiwa kwenye gari.

Maneno aliyoyasema yalirekodiwa na vyombo vyote vya habari siku ya tukio na kurushwa hewani.
 
Hukisoma vizuri wanasema hakuna mtu aneyeruhusiwa kuingia zaid ya ma dk.naomba kujuwa ninani aliyekwenda kurekod hy sauti!
 
kama kweli polisi wanahusika....! Madakari wasiwatibu polisi hata kama wakipigwa risasi na majambazi..! Waandae kabisa sindano za sumu.....! Kwa polisi na wanasiasa waliohusika..!

yes, hii sasa itawapa nidhamu, nashauri ianze kutekelezwa asp (as soon as possoble) ili wajue vita walioianzisha nani atashinda....tena hii bwana ni nzuri kweli kweli ningekuwa docta kwa kweli polisi, na viongozi waandamizi wa ccm wangejua cha mtema kuni
 
Back
Top Bottom