ACP Hemed Msangi...

ACP Hemed Msangi...

Anaonekana very humble usoni! Kumbe ni muuaji! Watu wenye sura humble kama 'dhaifu' ni wa kuwaogopa sana! Huwa mioyo yao ni ya kishetani sana!
we unamuonaje osama bin ladden he is very handsome what about the jakal calos handsome too lakini kwa kucheza na damu za watu hao jamaa ni noma
 
Sikujua mgogoro huu una UDINI pia! No wonder, Ukishasikia CDM na wanaojiita wanaharakati ujue UDINI in the house! Haya endeleeni na harakati zenu za kuchukua nchi!

Think critically man,think,think!
 
5.jpg
 
ACP Msangi akiwa mkuu wa USA alisimamia zoezi la kuondoa uhai watuhumiwa wanne wa ujambazi waliokamatwa na polisi wakiwa hai ikamlazimisha RPC Ntobi kuhamishiwa mkoa wa Mara.


hiyo ya kukamata majambaz wanawauwa sio ngen kabisa jarb kutumia akili ya kuzaliwa wanasema jambaz amekufa/wamekufa wakirushiana risas na polis wakiwa na siraha kubwa kama s.gun na smg na risas 30 wamekutwa nazo sasa
swali ambalo alihitaj hata phd hao majambaz hawana shabaha??
Mana utasikia polis hana hata mchubuko kweli?
 
Fanya Utafiti kwanza kabla ya kuleta ujumbe kama huu ktk blog...mimi nawashangaa sana watanzania hivi ni kwanini tuna penda kuwa na Tabia za kizushi??????????? unajua uzushi unaleta usumbufu mkubwa kama kweli kamanda kahusika huyu aliyeleta huu ujumbe alikuwa wapi?? acheni uzishi hauna ukweli wowote

Tupe unalolijua la soma kimyakimya kama wengine.
 
All of them are in difficult position! But why?

Mkuu umeangalia hiyo picture vizuri? Au hauna macho nn mkuu? Wengi hawana hata muhudumu mmoja wa kuwaangalia tena wamelala chini

Huyo mwingine full ma AC wauguzi kaa mia
 
Kwenye hizi nyuzi za kuhusu Dr Ulimboka, kwa siku nzima ya leo sijawaona members mashuhuri wafuatao:
Topical
Rejao,
Annael, na
Ritz. Sijui nini kimewasibu, namuona Zomba tu akijaribu kujitutumua. Sijui wamekumbwa na nini.
 
Mkuu umeangalia hiyo picture vizuri? Au hauna macho nn mkuu? Wengi hawana hata muhudumu mmoja wa kuwaangalia tena wamelala chini

Huyo mwingine full ma AC wauguzi kaa mia
Picha zote zina wagonjwa wa kuumwa naturally na wale wa kutengenezewa ugonjwa. Hali zote hizo mbili hazikubaliki. Tusianze siasa sehemu isiyotakiwa siasa. Badala yake tungeshughulikia root cause ya haya yote ili kwa pamoja tuijenge Tanzania bora.
 
Nawakumba sana marehemu wote mmoja wapo alikuwa mtoto wa mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Mzee Kileo akijulina Babuu mwingine mtoto wa Mzee Masumai mwingine kibosho akiitwa Joseph.Wote kwa pamoja walishikwa maeneo ya PPF wazima wa afya baadaye wazazi walipowafuatilia wakaambiwa wamepelekwa kituo cha polisi USA jioni tukapewa taarifa wameshafariki Arusha ikazizima kamanda Ntobi akakimbia wanahabari muda mfupi akahamishiwa mkoa wa Mara wakati huo ACP Msangi alikuwa askari wa cheo cha chini sana hakuguswa na zoezi la kuhamishwa.

Sijaelewa nitarudi jf asubuhi maana na kasengreti kananiita hapa
 
Sawa tu acha apumzike apo aone na wengine wanajiskiaje.Alah? wao tu walipwe ela nyingi.kwani tunaolipwa laki 5 hatufanyi kazi?Chadema itetee haki kwa wote.kuna waalimu 210,000.

Wafanyakazi wa serekali kibao, madokta, madkta. Kazi ni kazi.atuwezi fanya kazi moja wote ila lengo mwishoni wote tupate ela.wanatuulia ndugu zetu wanataka utajiri wa fasta.

Waende ata freemason basi.wachukue time........Tuache kuwa na akili mgando.Serekali ibanwe itumie ela vizuri,ila na sisi kila mmoja afanye kazi ila taifa liendelee.No lelemama.hela ya bure imetoka wapi? Mnaona wachina?

Piga kazi sana ila kidogo.baadae maendeleao.Watanzania tunajua sana kuongea na kuchangia.aliye na point nzuri kazini hewa. Low production.na serekali dhaifu atutaki. Tunataka madikteta, sha choka na lawama za kijinga!

Mkuu husomeki, unaongea lugha gani?
 
Mkuu umeangalia hiyo picture vizuri? Au hauna macho nn mkuu? Wengi hawana hata muhudumu mmoja wa kuwaangalia tena wamelala chini

Huyo mwingine full ma AC wauguzi kaa mia

Come on....! Wa-Tz wameanza kulala wanne wanne vitandani miaka mingi tu na wengi wanakufa kwa kukosa dawa, je wakati huo mgomo ulikuwa umeanza? mapovu yenu watoleeni waliosababisha huduma duni za afya. Wengine mnafikiri kwa kutumia nini jamani?
 
acp msangi akiwa mkuu wa usa alisimamia zoezi la kuondoa uhai watuhumiwa wanne wa ujambazi waliokamatwa na polisi wakiwa hai ikamlazimisha rpc ntobi kuhamishiwa mkoa wa mara.
yaani haya majamaa polisi ni majinga sana, kwani maisha yao mengi ni ya shida sana, lakini nashangaa wanavyokomaa na issue za wananchi wakati uhalifu umewashinda, natangaza vita na polisi kweli atakaeingia kwenye kilengeo ama zake ama zangu, ni washenzi sana, waliopanga kwenye nyumba uraiani wafukuzeni ...jamani!!!
 
yaani haya majamaa polisi ni majinga sana, kwani maisha yao mengi ni ya shida sana, lakini nashangaa wanavyokomaa na issue za wananchi wakati uhalifu umewashinda, natangaza vita na polisi kweli atakaeingia kwenye kilengeo ama zake ama zangu, ni washenzi sana, waliopanga kwenye nyumba uraiani wafukuzeni ...jamani!!!

Mkuu unataka wawe hivi ili Mnyika awaite Dhaifu na nyie vilaza mshabikie?View attachment 57750
 
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu Dr. Stephen Ulimboka ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu Salim kituo chako cha kazi ni wapi?

Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa.

Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya.

WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake.

Kamwe ubaya haufichiki nawe Mokira Muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani?

Aluta continua

Bora kufilisika mali, kuliko fikra na vision!
Data muflisi
 
Mdaktari wanahitaji Mshahara wa Milioni 3.5, Katika nchi Maskini ni Vigumu kulipwa mshahara huu, Nadhani wafanye Analysis kama inawezekana kwani kwa sasa anayetoka Chuoni analipwa Kuanzia Laki Tisa, Na Serikali imewaongezea Posho walizokuwa wanahitaji isipokuwa la kulipwa mshahara huo na nadhani imefika wakati kama unaona kazi unayofanya hailipi badilisha kazi au usisomee kitu ambacho halilipi, nawashauri wote wanaosoma Udaktari na Wanaotarajia kusomea kama unadhani hailipi au Ukimaliza Chuo lazima uajiriwe na Serikali usisome au acha unachosome somea kitu kingine,

Nadhani imefika wakati tujue kuwa Professional nyingine ni muhimu pia kama wanavyodhani Madaktari wao ni muhimu zaidi halafu Board ya mikopo inatoa asimilimi 100% kwa wanafunzi wanaosomea Udaktari hizi ni Kodi za Watanzania ambazo lazima muwatumikie,

Idara ya afya ni miongoni mwa idara zinazooongoza kwa Rushwa Tanzania,

Madakri wamegoma kuwatibu Watanzania lakini Dr Ulimboka kafika wameacha Mgomo wameenda kumshughulikia wanaacha watanzania wanaendelea kufa

Madaktari mnachelewa ofisini, mnapokea Rushwa haya yote hamsemi mtayerekebisha vipi,

Umefika wakati Serikali kutumia Sheria za Utumishi la sivyo itafika sehemu Watumishi wote wa Serikali wahitaji Milion 3.5

Viongozi wenye dhamana fanyeni maamuzi magumu whether is wrong or Right,
Mhe EL Alishawahi kusema Msiogope kufanya Maamuzi whether is wrong or Right.

Mhe Waziri mkuu kila kitu lazima mseme Top Leaders kwani huko mikoani hakuna viongozi au Wilayani.
Watekeleze wajibu wao na Fanya Maamuzi kama kiongozi Mkuu wa serikali lazima mbadilike ili nchi iende.
Hao wanaotaka kushika nchi watanzania wanafikiri hawatacheka na mtu anayekwenda kinyume na Sheria Na taratibu za Kazi na ndivyo itakuwa hivyo
 
Kwani yeye anaishi wapi? Familia yake iko wapi (wazazi, kaka, dada etc) Kama kweli ana miliki hilo shamba nani anakaa kwenye hilo shamba? Kama imedhibitika ni yeye na wakampangia kuwa kwenye hiyo kamati-now we can confirm this was real planned from top. Na kama kweli yeye ndie alikwenda kumuhoji Dr. Ulimboka inawezekana alitaka kupima Dr. anajua/kumbukumbu gani hasa. Swali ni je watanzania watamwacha huyu mtu aendelee kuishi maisha yake kawaida tu? Naona yule aliyembambikia mtoto wa Mengi madawa yakulevya bado anadunda na cheo chake. Kwakweli tusipoamka sasa sidhani kama yanayokuja mbeleni tutaweza kuyahimili.


Fuateni maagizo yaliyoambatanishwa kukamilisha kazi.
 

Attachments

Back
Top Bottom