Mil. 90 Zinahitajika kuokoa Uhai wa Dr. Ulimboka

Mimi nimeshangia kidogo nilichonacho Mungu mpe ahueni Dr. Uli. na kiasi changu kimepokelewa Christina Hobokela
 
Jopo la Madaktari wanaomtibu Dr. Ulimboka katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili wamesema zinahitajika shilingi Milioni Tisini (Tsh.90,000,000) kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Dr. Ulimboka. Madaktari wanasema Dr. Ulimboka ana matatizo ya Ini na kuwa Matatizo hayo ya Ini hayawezi kutibika katika hospitali yetu ya Muhimbili. Jopo la Madaktari limesema mpaka sasa zimepatikana Tsh. milioni 40 zilizochangwa na Madaktari. Dr. Ulimboka anahitaji kusafirishwa kwenda nchini India ambako anaweza kupatiwa matibabu stahiki.

Nilikuwa napendekeza Chama Cha Madaktari (MAT) au kikundi kingine kuratibu zoezi la kukusanya michango kutoka kwa wananchi wenye nia njema na wanaomtakia kupona Dr. Ulimboka.

Pamoja na mdai Mengine Madaktari wanasema kuwa “Sisi madaktari kwa umoja wetu, tumechoka kushuhudia Watanzania wakipoteza maisha kwa magonjwa tunayoweza kuyatibu, kufanya kazi katika mazingira magumu huku kukiwa hakuna mipango ya kuboresha mazingira ya kazi, kukosekana kwa dawa na vifaa tiba.”

Maelezo ya Namna ya kuchangia yalivyotolewa na kaka yake Dr. Ulimboka.

Haya ni maelezo ya Dkt. Hobokela Stephen, kaka yake Dkt. Ulimboka Stephen.

Dear all,

Thank you very much for your candid support in this.

I would like to bring to your attention that we had a meeting this afternoon between myself and a team of specialist to discuss modalities of collecting contributions.

In order to efficiently coordinate contributions it was agreed to use m-pesa agent number 31915 belonging to Christine Hobokela and and tigo pesa agent number 05416 belonging to Hedaya Stephen Mwaitenda.

For those who want to send foreign currency (USD) please send to Dr. Hobokela Stephen, Stanbic Bank Tanzania Limited Account number: 024003849360, SWIFT CODE: SBICTZTX

The reason I'm sending this is because I have been asked several times to clarify on this and after consuling with MAT president, he advised me to provide this clarification.

Below are some steps on how to send money to m-pesa and tigo pesa:

M-pesa

1. piga *150# OK
2.Chagua 2, toa pesa.
3.Ingiza namba ya wakala ambayo ni 31915
3.Weka kiasi cha pesa unachotaka kuchangia eg 50000
4.Weka nambari ya siri - namba yako ya siri
5. Bonyeza 1 kuthibitisha muamala

Utapata ujumbe kuwa mefanikiwa kutoa pesa kwa Christin Hobokela

Tigo pesa

1. piga *150*01# OK
2.Chagua 3, kutoa pesa.
3.Ingiza namba ya wakala ambayo ni 05416
3.Weka kiasi cha pesa unachotaka kuchangia eg 50000
4.Weka nambari ya siri - namba yako ya siri
5. Bonyeza 1 kuthibitisha muamala

Utapata ujumbe kuwa umefanikiwa kutoa pesa kwa Hedaya Mwaitenda
----------------
Once again we thank you very much for your support.

Hobokela Stephen

Asanye hobokela kwa jitihada na poleni na mgonjwa mwenyezi mungu atamsaidi.prezidaa wetu ana aleji ya watu wanaoitwa dokitors kumbuka alichokifanya kwa silaa kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom