Recent content by Tunsume

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Kibaha wapi mkuu?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    Bado unauza kuchi uko wapi na ni bei gani?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wafugaji wengi wa kuku wanavyotapeliwa kwa kuuziwa vifaranga vya uzao wa pili au tatu

    1st generation breed ya Sasso inapatikana wapi hapa Tanzania?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kutengeneza chaki

    Mashine bado ipo? ninaihitaji simu 0789138968
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kitanzania na changamoto katika Ujasiriamali

    Mwanamke zaidi ya changamoto za kimfumo (umasikini wa muda; kukosa elimu ya shule na uzoefu wa biashara; kutokuwa na mali kwa ajili ya kuaminiwa na taasisi za kifedha; kutokuwepo kwenye nafasi zenye kutoa fursa za uhakika) kwa maoni yangu changamoto nyingine kubwa ni kujengewa dhana kwa muda...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Hongera sana Dr Mwele - uwakilishi mzuri kwa Tanzania
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Haya majadiliano kuhusu michango ya harusi ni mwanzo mzuri wa mwisho wa jambo hili. Ingawa nia ya kuchangiana ni kujenga mshikamano katika jamii na miongoni mwa wanajamii, hali inavyoendelea michango itachukua sura nyingine haswa pale wengio wanaochanga watakapogundua kuwa wanaokuza mila hii...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Learn english language with mwalim Kashindi

    Communicative english can better be studied in a group of maximum two people. Understanding verbs has to be in functional context. if one is studying english for communication purposes, they need good speaking practice. At Tunsume Skills Training College we teach Communicative English courses...
  9. T

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    Mama wawili je ulipata msaada wa kuboresha lugha ya kiingereza? kama la karibu kwetu Tunsume Skills Training Language Kunduchi Bahari Beach tumeanza madara ya kiingereza piga simu namba 0753087713
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa development study Masada tafadhali

    strategies should address systemic causes of bribery, deception and fraud. Some of the systemic causes are: lack of incentives/disincentives for engaging in bribery within public service. If for instance heavy penalties were imposed and enforced on government officials involved in...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Jiongeze mafunzo ya lugha kiingereza na kifaransa

    Tunsume Skills Training college inatoa mafunzo ya lugha (kiingereza, kifaransa na kiswahili) kwa wanaohitaji kujitayarisha kukabili ushindani ema katika soko la ajira ama soko la biashara ndani na nje ya nchi. Kiingereza tunawaalimu wa cheti cha CELTA kutoka cambridge kupitia Edith Cowan...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Tafadhali nitumie simu yako -
  13. T

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuwekeza kwa msingi mdogo

    Mawazo mazuri na ubunifu mzuri sana. Tupeni mrejesho mko wapi sasa na wangapi wamejitokeza. Kazi nzuri sana ya kujenga Tanzania kwa mitaji ya ndani na kwa wabunifu wa ndani
  14. T

    JamiiForums Tanzania Story with a wonderfull lesson

    Very inspiring and teaching story. Honest is a virtue that is hard to come by in all of today's human settings. The biggest of all challenges is to embrace honesty in a global society that rewards and cherishes dishonest. A dishonest life that has embedded our society is now defended by all...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kozi bora

    Dogo nimependa sana jinsi ambavyo umeingiza falsafa ya kutafakari kwanza kabla ya kuwekeza kwenye elimu ya juu. Hii ni safi sana na kitu kipya sana kwa jamii yetu ambayo haioni elimu ni uwekezaji kama uwekezaji wowote na lazima kuifnayia uchangunuzi wa kina kuangalia kama unalipa ama la, na kwa...
Back
Top Bottom