Gypsum mfuko mmoja natoa chaki makasha mangapi?
We mwana sio mzuriIna muda gani toka umeinunua?
Kama iko vizuri hiyo biashara kwa nini usikomae ukapiga tenda mbili au tatu ukapata hiyo 950'000 na mashine ukabaki nayo.
Baba vyuma vimekaza, inabidi kuwa makini usiingie mkengeWe mwana sio mzuri
mashine bado ipo?Ninazo tatu za size na aina ni moja. Pamoja na kufanya hii biashara nina mirad mingine nasimamia. Sasa mashine kukaa bila kufanya kazi ni hasara bora niuze moja nikuze production kwa kununua material mengi zaidi lakin pia nina shida imenibana ndio mana naiuza pia
Sent using Jamii Forums mobile app
shamhigh9@gmail.com
Naitaji bosi nimekutumia email na namba yangu ya simu naitaji hiyo mashine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashine bado ipo? ninaihitaji simu 0789138968Mashine iko kwenye hali nzuri. Haijatumika bei laki tisa na hamsini elfu. Mazungumzo yapo. Karibuni
Box zinapatikana jamana....box moja inakaa chaki 100..ambayo ukiweka kwa caton zinakua 30 kwenye caton 1...Maboksi yakupaki hizo chaki unayotoa wapi? Hebu dadavua hili.
Pia boksi moja unauza shs ngapi?linakaa chaki ngapi?
Box zinapatikana jamana....box moja inakaa chaki 100..ambayo ukiweka kwa caton zinakua 30 kwenye caton 1...
Machine za chalk uende sido yoyote iliyopo katika mkoa wako..Tena sido utapewa na mafunzo ya utengenezaji na jinsi ya kuitumia machine yako..Bei zao ni tsh 2m..hua zinatobo 400.Mi pia naihitaji hiyo machine ya chaki 0620639519